Yaani wakose raha wakati wanaanza kula keki ya taifa rasmi!Hauna hadhi ya uchaguzi.. Na watakaoshinda wore hawatakuwa na raha na huo ushindi
Bunge litakuwa "Bunge la mama"Wanazunguka tu na mama mm jimboni kwangu gari ya kampeni imepita tu mara Moja Tena kipindi Rais amekuja.
Hamna cha kampeni za mbunge Wala diwani.
Kabisa maana sio haki.Hauna hadhi ya uchaguzi.. Na watakaoshinda wore hawatakuwa na raha na huo ushindi