Kwenye video hii Ahmed Kombo, mwanaharakati huru, anaelezea ukubwa wa Rais Samia na kumwaga sifa kedekede mpaka kufikia kusema baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia! Amenikumbusha bwana Kabudi aliyemuita Magufuli Mungu afu akazuga kama amekosea!
Ndio tunaelekea huku na Rais Samia pamoja washauri wako wala hamshtuki, mnaona raha tu kusifiwa wakati ukweli ni kwamba hamna kitu, ni vile watu wameona njia rahisi ya kupata madaraka ni kukuimbia mapambia?!
ukifatilia history ya siasa za duniani kuanzia wafalme KAULI na MATENDO YA WAZI ya kukufuru zinaleta maafa juu ya maafa KAULI za kukufuru mbaya sana zikatazwe
Tatizo hatuna media ya maana zote #&$£×¥*
Wala sishangai haya kwani kuna watu walimpamba yule mzee mpaka kumuita majina hata naogopa kuandika maana ulikuwa ni ujuha uliopitiliza
Nchi hizi za kimasikini hata ukiwa na tuhela kidogo utaitwa majina ya kila aina na sifa kibao
Tuwaache uchaguzi umekaribia na siku hizi siasa ni dini kwao
Wanaamini Siasa na kuliko dini zingine
Ukiingia siasa usahau dini na kadri unavyopata cheo ndio kabisa
Na Siasa ina mambo mengi sana ambayo ni kinyume kabisa na dini

Kwenye video hii jamaa huyu nadhani ni kiongozo wa dini anaelezea ukubwa wa Rais Samia na kumwaga sisa kedekede mpaka kufikia kusema baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia! Amenikumbusha bwana Kabudi aliyemuita Magufuli Mungu afu akazuga kama amekosea!