Huu uchawi wa kibongo wakurogana haufai serikali inabidi kuingilia kati.

Huu uchawi wa kibongo wakurogana haufai serikali inabidi kuingilia kati.

Knock life

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
2,465
Reaction score
7,764
Huu uchawi ndo waliutumia kumroga chidi benzi

Wakamroga nuhu mziwanda

Yaani kila ukipata hela unawaza mitungi.
Screenshot_20250408-153859_1744115978086.jpg
 
Kisa wao wasanii au

Hata Mimi mwenyewe ni mlevi nakula mitungi ila SIJALOGWA .. ASUBUHI NA MAPEMA kiu nakuwa nayo Mimi naenda kwa mama muuza mwenyewe hakuna UCHAWI waache ujinga waniige Mimi kama mziki au kazi haikulipi FUGA kuku,Bata, sungura na njiwa na mbuzi
 
Yawezekana kabisa Tanzania ndo ikawa nchi yenye mazuzu wengi per capita!

Kwanza, uchawi haupo.

Pili, alcoholism ni tatizo linalowasibu watu wengi tu duniani.

Mtu kuwa alcoholic haimaanishi umerogwa.

Hauwezi kurogwa kwa sababu uchawi haupo!
 
aliyerogwa anajijua, na anajua kabisa anatakiwa kusahau muziki, na yeye haukumbuki muziki, ila anakumbuka kuwa anatakiwa kusahau muziki.
 
Mimi wameniloga kwenye kubet,yaan nikiweka hela kwenye simu hata kama ni laki 3 najikuta yote inaishia kwenye betting

NIlkuwa nimeota kakitambi ila kote kameporomoka,mawazo usiku mzima sipati usingiz,nataka mpaka kukimbia familia
 
Ukiwa famous au tajiri, au una kipaji maana yake ulimwengu wa giza lazima ukupime kama unatosha.

Katika ulimwengu wa kiroho kuna biashara kubwa sana inaendelea, kununua roho, nyota, hata akili. Mwanao anakuwa na akili madarasa ya awali, wakishamsoma wanaenda kuzinyofoa kiroho. Wewe kama huna akili utaanza kupiga mtoto, utamfukuza nyumbani, utamlaani. Kumbe ni spiritual works.

Diamond Platinum na Ally Kiba wamebalansi sana maisha ya kiroho na maisha halisi. Vinginevyo wangekuwa wana perform gambushi sasa hivi, au watu wameshanyofoa talents zao

Pia wanaweza kumpandikiza pepo akawa malaya, mvuta bangi, mwizi, mlevi......

Maisha ya kiroho ni asilimia 80,ukiyamudu umetawala mazingira, ukidhani kumpa mtoto madigrii inatosha, ni 20 percent tu. Wanampiga nuksi hapati kazi, wanaomfanyia usaili wanamuona kama anawazomea, kumbe kavalishwa mask ya kichawi
 
Back
Top Bottom