KWENYE PESA HAKUNA ADUI
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 458
- 649
Hauwezi kurogwa kwa sababu uchawi haupoYawezekana kabisa Tanzania ndo ikawa nchi yenye mazuzu wengi per capita!
Kwanza, uchawi haupo.
Pili, alcoholism ni tatizo linalowasibu watu wengi tu duniani.
Mtu kuwa alcoholic haimaanishi umerogwa.
Hauwezi kurogwa kwa sababu uchawi haupo!
MAOMBI MUHIMU KTK KILA HATUA.💪Ukiwa famous au tajiri, au una kipaji maana yake ulimwengu wa giza lazima ukupime kama unatosha.
Katika ulimwengu wa kiroho kuna biashara kubwa sana inaendelea, kununua roho, nyota, hata akili. Mwanao anakuwa na akili madarasa ya awali, wakishamsoma wanaenda kuzinyofoa kiroho. Wewe kama huna akili utaanza kupiga mtoto, utamfukuza nyumbani, utamlaani. Kumbe ni spiritual works.
Pia wanaweza kumpandikiza pepo akawa malaya, mvuta bangi, mwizi, mlevi......
Maisha ya kiroho ni asilimia 80,ukiyamudu umetawala mazingira, ukidhani kumpa madigrii unatosha, ni 20 percent tu. Wanampiga nuksi hapati kazi, wanaomfanyia usaili wanamuona kama anawazomea, kumbe kavalishwa mask ya kichawi
Sio uchawi, ni addiction mkuuHuu uchawi ndo waliutumia kumroga chidi benzi
Wakamroga nuhu mziwanda
Yaani kila ukipata hela unawaza mitungi.View attachment 3296929
Hahahaa!Huu uchawi kama kweli upo unasingiziwa sana!
Kila mtu aki fell anahusishwa nao
Akifaulu waja wanamuhusishwa nao, vululuvululu🙌🤣🤣
Hakuna uchawi. Period, end of sentence.Hauwezi kurogwa kwa sababu uchawi haupo
"TISA/SITA (69) depends na ulipo simamia"
Ndio maana chid huwa anawashauri vijana wanaoingia kwenye muziki ya kwamba kama hawautumii vilevi wasitumie kabisa kwa maana huko ndiko utakako kamatika nako.Huu uchawi ndo waliutumia kumroga chidi benzi
Wakamroga nuhu mziwanda
Yaani kila ukipata hela unawaza mitungi.View attachment 3296929
duh huyo madawa yamemfikisha hapoJOSE MTAMBO
Hakuna kitu kama hichoUkiwa famous au tajiri, au una kipaji maana yake ulimwengu wa giza lazima ukupime kama unatosha.
Katika ulimwengu wa kiroho kuna biashara kubwa sana inaendelea, kununua roho, nyota, hata akili. Mwanao anakuwa na akili madarasa ya awali, wakishamsoma wanaenda kuzinyofoa kiroho. Wewe kama huna akili utaanza kupiga mtoto, utamfukuza nyumbani, utamlaani. Kumbe ni spiritual works.
Pia wanaweza kumpandikiza pepo akawa malaya, mvuta bangi, mwizi, mlevi......
Maisha ya kiroho ni asilimia 80,ukiyamudu umetawala mazingira, ukidhani kumpa madigrii unatosha, ni 20 percent tu. Wanampiga nuksi hapati kazi, wanaomfanyia usaili wanamuona kama anawazomea, kumbe kavalishwa mask ya kichawi
Mara nyingi ukisharogwa, unarogwa tena ili usiamini huo unaokusumbua ni uchawi, unafungwa na GPS ya asili, ukitaka kwenda kwa mtaalam wanakuona, unawekewa bundi, nzi, mende au wale mijusi wa nyumbani, wanasikia mijadala yote usiku wanapeleka taarifa, linatokea jambo,ugomvi, unaahirisha safari.Hakuna kitu kama hicho
Kama upo, prove it.Hakuna uchawi. Period, end of sentence.
Kama upo, prove it.
Huu uchawi ndo waliutumia kumroga chidi benzi
Wakamroga nuhu mziwanda
Yaani kila ukipata hela unawaza mitungi.View attachment 3296929
Acha utoto mkuuMara nyingi ukisharogwa, unarogwa tena ili usiamini huo unaokusumbua ni uchawi, unafungwa na GPS ya asili, ukitaka kwenda kwa mtaalam wanakuona, unawekewa bundi, nzi, mende au wale mijusi wa nyumbani, wanasikia mijadala yote usiku wanapeleka taarifa, linatokea jambo,ugomvi, unaahirisha safari.
Kuna nyumba hata uje na fuso la dawa ya kuua mende, panya, hawaishi, na ndio kama umewaalika, nzi amekuganda unapiga mpaka unataka kujizaba kibao, kumbe sio nzi wa kawaida, na ukizubaa anajitupia katika mdomo anakaa kwenye koo halafu hafi, anazunguka na kuruka ruka kwenye koo, wewe unakohoa tu mpaka unaweza kufa
Na wewe utakuwa umerogwa hivyo
Halafu mbuzi unaenda kuuza kwa vibabu vifupi vya MakoloKisa wao wasanii au
Hata Mimi mwenyewe ni mlevi nakula mitungi ila SIJALOGWA .. ASUBUHI NA MAPEMA kiu nakuwa nayo Mimi naenda kwa mama muuza mwenyewe hakuna UCHAWI waache ujinga waniige Mimi kama mziki au kazi haikulipi FUGA kuku,Bata, sungura na njiwa na mbuzi
kweli tupu👿Yawezekana kabisa Tanzania ndo ikawa nchi yenye mazuzu wengi per capita!
Kwanza, uchawi haupo.
Pili, alcoholism ni tatizo linalowasibu watu wengi tu duniani.
Mtu kuwa alcoholic haimaanishi umerogwa.
Hauwezi kurogwa kwa sababu uchawi haupo!