Huu uhaba wa dola unasababishwa na miradi ya pupa aliyoianzisha Magufuli akijitapa sisi ni matajiri

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Miradi inatumia fedha nyingi za kigeni kufanya imports ya vifaa na kulipa wakandarasi

Miradi mingi inatumia mikopo ambayo imeshaanza kulipwa kabla hata matunda ya mradi hayajaanza kuingiza kipato

Haya mambo tulitarajia na tuliyasema kabla

Siku watanzania tukiacha kufikiri ujinga kama huu tutapiga hatua ya kimaendeleo sana .
 
Miradi inatumia fedha nyingi za kigeni kufanya imports ya vifaa na kulipa wakandarasi

Miradi mingi inatumia mikopo ambayo imeshaanza kulipwa kabla hata matunda ya mradi hayajaanza kuingiza kipato

Haya mambo tulitarajia na tuliyasema kabla
Hakuna mradi wa hovyo ambayo magufuli alijenga Yote tulikuwa tunaihitaji wakati huu
 
Miradi inatumia fedha nyingi za kigeni kufanya imports ya vifaa na kulipa wakandarasi

Miradi mingi inatumia mikopo ambayo imeshaanza kulipwa kabla hata matunda ya mradi hayajaanza kuingiza kipato

Haya mambo tulitarajia na tuliyasema kabla

Serikali ya Tanzania haijasema hivyo. Benki kuu ya Tanzania haijasema hivyo.
Ati Profesa wa Oxford.
qumalal mmmake

Be very careful with what you wish for!
 
Serikali ya Tanzania haijasema hivyo. Benki kuubya Tanzania haijasema hivyo.
Ati Profesa wa Oxford.
qumalal mmmake
Vitu vingine kama una akili ndogo tu unavijua mwenyewe wala sio kusubiri kuambiwa na serikali

Utakuwa mbumbumbu wa mwisho kama ukweli wa jambo unasubiri kuambiwa na serikali ambayo ilishathibitika kudanganya hadi kifo cha Rais
 
Kwa ndugu zangu wa Geita. msikurupuke huko! Ndicho hawa maharamia wanachokitafuta.

Wanataka muwe na Hasira halafu muwachinje na kuwapiga marungu hawa maharamia. Wakishaumia wakalalamike makwao Ili waje waseme hawana Usalama na hawana imani na Jeshi letu, kitakachofuatia ni wao kuleta Mamluki wawamgamize na kuzoa, yaani kuzoa rasilimali za eneo hilo...muwe makini sana na wawekezaji mnaowakaribisha kufanya nao biashara huko.
 
Vitu vingine kama una akili ndogo tu unavijua mwenyewe wala sio kusubiri kuambiwa na serikali
Naona hizo akili kama zimekutoka kabisa manake mtu mwenye akili hasubiri kuambiwa kitu na mzungu kuelewa vitu anavyovijuwa kuwa, mzungu kapungukiwa.
Utakuwa mbumbumbu wa mwisho kama ukweli wa jambo unasubiri kuambiwa na serikali ambayo ilishathibitika kudanganya hadi kifo cha Rais
Mbumbumbu ni yule anayefikiri Profesa wa Oxford ndiye mwenye akili.

Tundu Lissu aliwadanganyeni kuhusu kifo, nitamwamini aliyeko Serikalini kuliko Msaliti wa Nchi
 
Wewe
Miradi inatumia fedha nyingi za kigeni kufanya imports ya vifaa na kulipa wakandarasi

Miradi mingi inatumia mikopo ambayo imeshaanza kulipwa kabla hata matunda ya mradi hayajaanza kuingiza kipato

Haya mambo tulitarajia na tuliyasema kabla

Wewe ni mpumbavu na chuki yako itakuua!!

Kwa sasa ni 1-1
 
Miradi inatumia fedha nyingi za kigeni kufanya imports ya vifaa na kulipa wakandarasi

Miradi mingi inatumia mikopo ambayo imeshaanza kulipwa kabla hata matunda ya mradi hayajaanza kuingiza kipato

Haya mambo tulitarajia na tuliyasema kabla

Wamekudanganya.
 
Wasimchanganye. Wanataka kumtoa kwenye reli maana wanajua ni wale wa kujipendekeza kwa wazungu.
Miradi wala sio ya magafuli ila ni ilani za chama cha mapinduzi. Mama ashikilie tu usukani hakuna mradi wowote utakua wa hasara. Wao wanapofikiria hasara wanafikiria muwekezaji binafsi lakini miradi yetu ni ya umma. Haijaanzishwa kiwazimu. Faida zake mingi ni ya kuonekana muda mfupi na mingi muda mrefu.
 
Miradi inatumia fedha nyingi za kigeni kufanya imports ya vifaa na kulipa wakandarasi

Miradi mingi inatumia mikopo ambayo imeshaanza kulipwa kabla hata matunda ya mradi hayajaanza kuingiza kipato

Haya mambo tulitarajia na tuliyasema kabla

Taa hira
 
Back
Top Bottom