kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
mkuu,Kwan jamaa zako
PSU ,hawakuwepo
PSU ,hawakuwepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trump ana mabwana wawili,Putin na Elon musk, hapindui kwao! Putin ndio kila kitu kwa TrumpMaaumuzi mengi tena yenye Unyeti anatoa Elon Musk huku Rais Trump akionekana Kukubaliana nayo hata kama Wachambuzi Nguli wa Siasa za Dunia wanasema ni Hatari kwa Ustawi wa Marekani. Kuna Clip naiona sasa Elon Mask yuko Ikulu na Mwanae na anafanya Vituko vya kila aina huku Mwanae nae akiifanya hiyo Ofisi ya Ikulu ya Marekani kama ni Kibarazani kwao ambako anaweza kufanya kila Kitu.
In short Elon Musk ni mwenye Kiburi, Jeuri na Dharau kiasi kwamba hata ukiangalia tu Body Languages za Watumishi wa Ikulu (Wazee wa Protokali) walioko hapo Ikulu zinaonyesha kuwa hawapendi ila hawana cha kufanya. Jamaa (Elon Musk) mara ambebe Mwanae Kichwani mwake huku akiwa anaongea mbele ya Rais Trump ambaye nae anaonekana kama vile Kashikwa pabaya na Musk.
Paaaa Paaaa PaaaaaaaaaaaUshindi wa Trump ni hela za mkaburu huyo
Musk anajiona yuko South Africa na sio US
Jamaa hela zake zimemnunua Trump
Ila wanawalia timing mara mtasikia paa
Sorry, nimesharekebisha, Elon Musk alikuwa ni major contributor wa campaign za TrumpTrump au Elon
Au kajichangia mwenyewe
Kwani Hukumuona Rais Trump naye alimbeba Mwanae Kichwani 😀😀Maaumuzi mengi tena yenye Unyeti anatoa Elon Musk huku Rais Trump akionekana Kukubaliana nayo hata kama Wachambuzi Nguli wa Siasa za Dunia wanasema ni Hatari kwa Ustawi wa Marekani. Kuna Clip naiona sasa Elon Mask yuko Ikulu na Mwanae na anafanya Vituko vya kila aina huku Mwanae nae akiifanya hiyo Ofisi ya Ikulu ya Marekani kama ni Kibarazani kwao ambako anaweza kufanya kila Kitu.
In short Elon Musk ni mwenye Kiburi, Jeuri na Dharau kiasi kwamba hata ukiangalia tu Body Languages za Watumishi wa Ikulu (Wazee wa Protokali) walioko hapo Ikulu zinaonyesha kuwa hawapendi ila hawana cha kufanya. Jamaa (Elon Musk) mara ambebe Mwanae Kichwani mwake huku akiwa anaongea mbele ya Rais Trump ambaye nae anaonekana kama vile Kashikwa pabaya na Musk.
But Mbona Kuna Kitengo Kimeanzishwa na Marekanj ambacho anakisimamia Musk kuna mfanya yeye Kuwa Karibu na Ikulu..Sorry, nimesharekebisha, Elon Musk alikuwa ni major contributor wa campaign za Trump
Yaah, ni boss wa DOGE, ndyo siasa za marekani, Elon ni tax payer mkubwa, so ana influence kubwa, huwezi mweka pembeni, the richest person on Planet😆But Mbona Kuna Kitengo Kimeanzishwa na Marekanj ambacho anakisimamia Musk kuna mfanya yeye Kuwa Karibu na Ikulu..
Hebu tuache MAGA ifanye kazi tunapooona Marekani ikiendelea Lazima Tusikie Milio Nchi zingine..
DOGE on peak
Nadhani Ni Vyema Tuishie HapaItakuwa kuna jambo nyuma ya mlango. Inaweza ikawa ni gharama aliyotumia Musk kuwezesha Trump kushinda.
Nafasi aliyopewa sio kwa bahati mbaya, ni kwa makubaliano maalum ya awali baina ya Musk na Trump, kwa jicho la kawaida inawezekana ikaonekana kama Musk ni mteule wa Trump lakini kiuhalisia inaweza ikawa ni kinyume chake.
Hata bongo wapo kina Musk wengi nyuma ya pazia ni vile tu hawajitokezi hadharani, ila wana influence ya kutosha katika maamuzi ya kila siku.
View attachment 3235465
Hapana. Sio Trump alipoanzisha DOGE na Kumuweka Elon kama Ndo Kiomgozi wake alikuwa na maana Yake kuwa Anajua Jinsi ya Kuminimize Matumizi ya Serkali na Mianya ya Rushwa anaijua Vizuri.N
Nadhani Ni Vyema Tuishie Hapa
Dogo akijisikia ku-puu anatafuta chemba tu hata chinibya meza ya trumpDogo X Amepazoea White House Kuliko Ghetto Kwake
SiokweriTrump ana mabwana wawili,Putin na Elon musk, hapindui kwao! Putin ndio kila kitu kwa Trump