Huu uhuru anaopewa Bilionea Elon Musk na Rais Trump unatokana na nini? Mbona ni kama vile Musk ndiyo Rais wa Marekani?

Hivi Elon Musk ni mmarekani? Mbona nasikia ni msouth africa?
 
Trump ana mabwana wawili,Putin na Elon musk, hapindui kwao! Putin ndio kila kitu kwa Trump
 
Musk namfananisha na abdul.
 
Hicho kitoto kinavyoyajambia mazulia ya ikulu kama kipo kwao vile...daah pesa ndo kila kitu.
 
Kwani Hukumuona Rais Trump naye alimbeba Mwanae Kichwani 😀😀
 
Sorry, nimesharekebisha, Elon Musk alikuwa ni major contributor wa campaign za Trump
But Mbona Kuna Kitengo Kimeanzishwa na Marekanj ambacho anakisimamia Musk kuna mfanya yeye Kuwa Karibu na Ikulu..

Hebu tuache MAGA ifanye kazi tunapooona Marekani ikiendelea Lazima Tusikie Milio Nchi zingine..

DOGE on peak
 
But Mbona Kuna Kitengo Kimeanzishwa na Marekanj ambacho anakisimamia Musk kuna mfanya yeye Kuwa Karibu na Ikulu..

Hebu tuache MAGA ifanye kazi tunapooona Marekani ikiendelea Lazima Tusikie Milio Nchi zingine..

DOGE on peak
Yaah, ni boss wa DOGE, ndyo siasa za marekani, Elon ni tax payer mkubwa, so ana influence kubwa, huwezi mweka pembeni, the richest person on Planet😆
 
N
Nadhani Ni Vyema Tuishie Hapa
 
Dogo X Amepazoea White House Kuliko Ghetto Kwake
 
N

Nadhani Ni Vyema Tuishie Hapa
Hapana. Sio Trump alipoanzisha DOGE na Kumuweka Elon kama Ndo Kiomgozi wake alikuwa na maana Yake kuwa Anajua Jinsi ya Kuminimize Matumizi ya Serkali na Mianya ya Rushwa anaijua Vizuri.

Na Si Vinginevyo
 
Atampanda sana kichwani Donald,maana alimsupport hela nyingi kwenye kampeni yake kuingia ikulu , ingekuwa Africa wangesema rushwa au takrima shenzi sana hawa.......
 
Shida watu wanajudge video ile ya juzi kule oval office kimwonekano tu na sio kwa kusikiliza majibu alokua anatoa Elon.
 
Watu wagumu sikuzote wanamadhaifu kwa mtu mmoja
Cc: magufuli kwa makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…