HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Dini ni scamDini za kuja ni uninga uliopitiliza na unaowafanya watu wawe wajinga na washindwe kujisimamia wakiamini vitabu vya dini na ujinga uliomo mdani yake.
Kwakuwa kizazi cha sasa kimeanza kusituka basi hiki kizazi ndiyo kitakuwa cha mwisho kuabudu ujinga huu wa dini za kuja na vitabu vyake.
Maneno hayo yanayobadilika ni ya Mungu au ya watu binafs?Unazungumzia dini ipi? Labda ile dini isiyobadilika mafundisho yake ni yaleyale karne na karne. Lakini ile dini nyingine waumini wake wanaenda na wakati ujue
Swali zuri sana hiliManeno hayo yanayobadilika ni ya Mungu au ya watu binafs?
watu binafsi wanabadilika mjuba, kama we ulikuwa ukijiremba sana unaona ni dhambi hawa wa sasa wanaona ni fasheni si dhambi, nenda kashangae mahubiri na mafundisho ya wahubiri wa kisasa ndio utajua watu binafsi wanabadilikaManeno hayo yanayobadilika ni ya Mungu au ya watu binafs?
We jamaa unaupumbavu mwing sanaWalioleta dini ndio walioleta shule mjuba. Wamisionari wa ulaya ndio walioleta dini kwa wasioamini/wapagani. Haya mashule na machuo ndio mfumo wao. Uzuri wa dini ile halazimishwi mtu kuamini, sio kama ile dini nyingine wakishajiona wako wengi wanataka serikali nzima iongozwe kwa misingi ya imani ya dini yao, huo ndio upuuzi na scam mnaouzungumzia na yafaa kizazi kijacho kiaachane na ujinga huo
Mungu karuhusu wapi maneno yake yabadilishwe na watu?watu binafsi wanabadilika mjuba, kama we ulikuwa ukijiremba sana unaona ni dhambi hawa wa sasa wanaona ni fasheni si dhambi, nenda kashangae mahubiri na mafundisho ya wahubiri wa kisasa ndio utajua watu binafsi wanabadilika
maneno ya Mungu hayabadiliki mjuba, unaambiwa mambo yote yatapita lakini maneno ya Mungu hayatapita.Maneno hayo yanayobadilika ni ya Mungu au ya watu binafs?
Sasa hiyo comment #2 kaandika mumeo ulivoenda kuiosha?maneno ya Mungu hayabadiliki mjuba, unaambiwa mambo yote yatapita lakini maneno ya Mungu hayatapita.
upumbavu kwenye dini utoke wapi aisee? We huna dini? Wazazi wako je?We jamaa unaupumbavu mwing sana
upumbavu kwenye dini utoke wapi aisee? We huna dini? Wazazi wako je?We jamaa unaupumbavu mwing sana
upumbavu kwenye dini utoke wapi aisee? We huna dini? Wazazi wako je?We jamaa unaupumbavu mwing sana
Unatatzo hili ETHNOCENTRISMupumbavu kwenye dini utoke wapi aisee? We huna dini? Wazazi wako je?
sijasema maneno ya Mungu yanabadilishwa, watu ndio wanaobadilika kitabia, we mjuba unazijua dini vema au unaishi upaganini?Mungu karuhusu wapi maneno yake yabadilishwe na watu?
sasa mbona unataka ligi ya matusi?Sasa hiyo comment #2 kaandika mumeo ulivoenda kuiosha?
Huwez badilisha mtindo bila Muongozo na muongozo n Maneno ya Mungu.sijasema maneno ya Mungu yanabadilishwa, watu ndio wanaobadilika kitabia, we mjuba unazijua dini vema au unaishi upaganini?