Huu ujumbe amendika Waziri Kikwete je hajaona kama amekosea?

Dah sio kwa ubaya na ashakum si matusi ila we jamaa ni kiazi, sasa hapo alipokosea wapi mbona inaeleweka kabisa

Kuanzia tarehe 21 mpaka 22 septemba
 
Kukosea kupo.
Adate na nini?
Pesa anayo,madaraka anayo..
Acha hizo kila kitu lazima uanzishe uzi??
 
Ndiyo huyo wanataka kumrithisha mikoba
Ndiyo huyo alikabidhiwa ardhi yetu yote
Ndiyo huyo anatuongoza

Nchi hii hadi tutoboe itachukua karne kadhaa
 
Waziri anakoseaa..! Tena kwa kuandika na kisha kuchapa?

Hii siyo sawa
 
Hajakosea…

Ila amekosea, hatuna format ya kuanza na tarehe, mwaka then mwezi.
 
Watoto wa wakubwa wanabebwa na mbeleko za wazazi wao ila kichwani hawana kitu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…