Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ni kweli D hata miaka bila kuona wazazi hawaoni shidaTatizo kubwa watoto wa kiume yaani
Mmeamua kutusema sasa eti.Ni kweli D hata miaka bila kuona wazazi hawaoni shida
Una miaka mingapi hujaenda kuwaona wazazi nyumbaniMmeamua kutusema sasa eti.
Tatizo ni nyinyi mnatufanya tusikumbuke nyumbani.
Mimi nakaa kwa wazazi mpaka sasa.Una miaka mingapi hujaenda kuwaona wazazi nyumbani
Ukianza kujitegemea usisahau wazazi sawaMimi nakaa kwa wazazi mpaka sasa.
U-17
Nitafanya hivyo nitawakumbuka zaidi.Ukianza kujitegemea usisahau wazazi sawa
sijui iko shida gani hata kwangu iko hivo,Nikitaka kuview hiyo attachment simu yangu inarudi home page, mara nyingi tu huwa inantokea msaada tafadhali.