Huu ukanjanja wa Shafih Dauda ni next level

Kwa kweli kuna uwekezaji mkubwa mno utopolo wameufanya kwa makanjanja.
Na kazi yao kubwa ni kuandika kila negative inayoweza kuwa upset Simba.
Najua jambo hili wakati fulani linawapa pressure wachezaji wetu na kuongeza mashaka kwa wapenzi wa Simba,ila wakati mwingine maneno yanawachochea wachezaji kufanya vizuri ili kuwa prove wrong.
watu wamesahau tu kwamba kitenge alishaanzaga siku mingi sana hadi Rage akapiga marufuku habari za simba kutangazwa redio one,yaani sasa hivi redio zote vipindi vya michezo ukitoa radio one na east africa kidoogo ni kama wako coordinated vile kama wametiwa funguo fununu tu kuhusu simba itashikiliwa bango lisaa lizima bila hata kupata upande wa pili unasemaje hakuna story balance halafu watu wanatetea kwamba mwandishi yuko huru kuandika anachotaka yeye
 
Kwa kweli kuna uwekezaji mkubwa mno utopolo wameufanya kwa makanjanja.
Na kazi yao kubwa ni kuandika kila negative inayoweza kuwa upset Simba.
Najua jambo hili wakati fulani linawapa pressure wachezaji wetu na kuongeza mashaka kwa wapenzi wa Simba,ila wakati mwingine maneno yanawachochea wachezaji kufanya vizuri ili kuwa prove wrong.
Sasa kama unaudhibitisho na hilo na lime work positive hadi jana mmepigwa... kwanini msikopi wapandieni Dau hao mnaowaita makajanja wakaanze kuwasifieni na nyie , sio kila siku mkifungwa mnakuja kutulilia humu wakati mna 20bl kwa Mwamedi.
 
Yanga kiwango cha ushamba kimezidi.
Uto awafundishwi mpira wanachofundishwa ni kung-fu.

Niyonzima karusha ngumi kwenye fainali ya kombe la plastiki na milioni 15!!
Ivi ingekuwa mechi ya kimataifa yenye hadhi,na ya kupata bilions of dolor si angepiga wenzie kabari kabisa!?
 
alitanua mikono kaviimbaaa anamsubiri muzamiru anyanyuke refa yuko pembeni anashangaa tu makanjanja yameongelea kijujuuu walahi ingekuwa niyonzima yuko simba kafanya vile leo kungewaka moto studio ,mics zingeomba pooo
 
UTEREMBWE MAPAKAPAKA FC, mnateseka mkiwa mkoa gani??¿?
jina la uterembwe mmelitoa wapi?mnalazimisha ifanane na utopolo mmesahu hilo jina la utopolo mlijipa wenyewe siku ile mmepigwa 3-0 na kagera sugar jamaa alisema HII YANGA AU UTOPOLO? sasa mnahangaika tena kutunga majina mengine?heeee
 
Ethics za uandishi wa habari zinataka u balance story sasa kwamba source yako ni walio karibu na uongozi na uongozi wenyewe huulizi kupata side b of the story huo ni ukanjanja sana tu
Mbaya zaidi mnashangilia kwamba mwandishi wa habari yuko huru kuandika anachojisikia yeye ,aiseee huyo kitenge unayemsema alishasababisha Aden Rage akapiga MARUFUKU REDIO ONE KUTANGAZA HABARI ZA SIMBA hiyo ilkuwa way back kabla fani ya radio haijavamiwa na makanjanja ya kutisha kilichoko sasa hivi ni catastrophe anahitajika mtu kama Rage au Hanspope ku deal na hawa makanjanja
Mimi naungana na aliyekushauri upunguze mahaba na litimu lako Manyau fc, la sivyo Mimi nasema hivi karibuni tutakupeleka Milembe, Ni hayo tu.
 
Yanga kiwango cha ushamba kimezidi.
Uto awafundishwi mpira wanachofundishwa ni kung-fu.

Niyonzima karusha ngumi kwenye fainali ya kombe la plastiki na milioni 15!!
Ivi ingekuwa mechi ya kimataifa yenye hadhi,na ya kupata bilions of dolor si angepiga wenzie kabari kabisa!?
Eti na wewe umejitutumua umeandika Kati ya waandishi, bure kabisa s.h.it ho..ole
 
jina la uterembwe mmelitoa wapi?mnalazimisha ifanane na utopolo mmesahu hilo jina la utopolo mlijipa wenyewe siku ile mmepigwa 3-0 na kagera sugar jamaa alisema HII YANGA AU UTOPOLO? sasa mnahangaika tena kutunga majina mengine?heeee
Utelembwe a.k.a Mnyero fc mmepewa na msemaji wenu Manyara. Milembe inakuhusu bro, be careful, kuwa mpenzi wa mpira siyo mfia timu km ww
 
jina la uterembwe mmelitoa wapi?mnalazimisha ifanane na utopolo mmesahu hilo jina la utopolo mlijipa wenyewe siku ile mmepigwa 3-0 na kagera sugar jamaa alisema HII YANGA AU UTOPOLO? sasa mnahangaika tena kutunga majina mengine?heeee
UTE KAMA UTE.... UTE FC... MAPAKASHUME
 
Kwa kweli kuna uwekezaji mkubwa mno utopolo wameufanya kwa makanjanja.
Na kazi yao kubwa ni kuandika kila negative inayoweza kuwa upset Simba.
Najua jambo hili wakati fulani linawapa pressure wachezaji wetu na kuongeza mashaka kwa wapenzi wa Simba,ila wakati mwingine maneno yanawachochea wachezaji kufanya vizuri ili kuwa prove wrong.
Nyau fc naona mnateseka sana
 
Yanga kiwango cha ushamba kimezidi.
Uto awafundishwi mpira wanachofundishwa ni kung-fu.

Niyonzima karusha ngumi kwenye fainali ya kombe la plastiki na milioni 15!!
Ivi ingekuwa mechi ya kimataifa yenye hadhi,na ya kupata bilions of dolor si angepiga wenzie kabari kabisa!?
Inaonekana ile ngumi imekuuma zaidi ya aliepigwa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unahangaika na mtu hata kuandika hajui yule kilaza
 
Aisee Simba ina bahati mbaya sana na makanjanja kwa kweli, juzi kaulizwa matola kajibu jana kasema hana match fitness, inawezekana wanatudanganya lakini ukiniambia hawezi kukimbia tena? Source"watu walio karibu na uongozi wa simba"

Kama vile hirizi ya shikhalo aliyomtuma mganga kuitoa ilivyopotezewa na makanjanja hata habari ya CEO barbra kupigwa huko Zanzibar itapotezewa sana tu ila ingekuwa senzo kapigwa makanjanja yangelipuka sana hata kwenye page zao za instagram na twitter

Au ile ngumi ya sehemu hatari niyonzima aliyompiga muzamiru kisogoni ingekuwa imefanywa na mchezaji wa simba halfu red card haijatoka na utopolo awe kapoteza mechi pasingekalika leo kwa wachambuzi makanjanja.

Kw ahili niwapongeze deportivo. la utopolo kwa kuwekeza kwa makanjanja maana sijajua mmetumia stratergy gani zaidi ya "papers"maana they are working tirelessly, so determined.

Hebu peleke ujinga wako huko, yaani Shafiii badala ya kuripoti matukio ya soka akarepoti pisi kali zilizopigana kugombea mwanaume?
 
Back
Top Bottom