Aisee Simba ina bahati mbaya sana na makanjanja kwa kweli, juzi kaulizwa matola kajibu jana kasema hana
match fitness, inawezekana wanatudanganya lakini ukiniambia hawezi kukimbia tena? Source"watu walio karibu na uongozi wa simba"
Kama vile hirizi ya shikhalo aliyomtuma mganga kuitoa ilivyopotezewa na makanjanja hata habari ya CEO barbra kupigwa huko Zanzibar itapotezewa sana tu ila ingekuwa senzo kapigwa makanjanja yangelipuka sana hata kwenye page zao za instagram na twitter
Au ile ngumi ya sehemu hatari niyonzima aliyompiga muzamiru kisogoni ingekuwa imefanywa na mchezaji wa simba halfu red card haijatoka na utopolo awe kapoteza mechi pasingekalika leo kwa wachambuzi makanjanja.
Kw ahili niwapongeze deportivo. la utopolo kwa kuwekeza kwa makanjanja maana sijajua mmetumia stratergy gani zaidi ya "papers"maana they are working tirelessly, so determined.