Huu ukanjanja wa Shafih Dauda ni next level

Huu ukanjanja wa Shafih Dauda ni next level

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Aisee Simba ina bahati mbaya sana na makanjanja kwa kweli, juzi kaulizwa matola kajibu jana kasema hana match fitness, inawezekana wanatudanganya lakini ukiniambia hawezi kukimbia tena? Source"watu walio karibu na uongozi wa simba"

Kama vile hirizi ya shikhalo aliyomtuma mganga kuitoa ilivyopotezewa na makanjanja hata habari ya CEO barbra kupigwa huko Zanzibar itapotezewa sana tu ila ingekuwa senzo kapigwa makanjanja yangelipuka sana hata kwenye page zao za instagram na twitter

Au ile ngumi ya sehemu hatari niyonzima aliyompiga muzamiru kisogoni ingekuwa imefanywa na mchezaji wa simba halfu red card haijatoka na utopolo awe kapoteza mechi pasingekalika leo kwa wachambuzi makanjanja.

Kw ahili niwapongeze deportivo. la utopolo kwa kuwekeza kwa makanjanja maana sijajua mmetumia stratergy gani zaidi ya "papers"maana they are working tirelessly, so determined.

Screen Shot 2021-01-14 at 1.05.06 PM.png
Screen Shot 2021-01-14 at 1.05.28 PM.png
 
Aisee simba ina bahati mbaya sana na makanjanja kwa kweli, juzi kaulizwa matola kajibu jana kasema hana match fitness,inawezekana wanatudanganya lakini ukiniambia hawezi kukimbia tena?source"watu walio karibu na uongozi wa simba"

kama vile hirizi ya shikhalo aliyomtuma mganga kuitoa ilivyopotezewa na makanjanja hata habari ya CEO barbra kupigwa huko zanzibar itapotezewa sana tu ila ingekuwa senzo kapigwa makanjanja yangelipuka sana hata kwenye page zao za instagram na twitter

Au ile ngumi ya sehemu hatari niyonzima aliyompiga muzamiru kisogoni ingekuwa imefanywa na mchezaji wa simba halfu red card haijatoka na utopolo awe kapoteza mechi pasingekalika leo kwa wachambuzi makanjanja

Kw ahili niwapongeze deportivo. la utopolo kwa kuwekeza kwa makanjanja maana sijajua mmetumia stratergy gani zaidi ya "papers"maana they are working tirelessly,so determined.
View attachment 1677214View attachment 1677215
Unateseka ukiwa wapi ndugu?
 
Simba inakutesa sana ndugu yangu... Jitahidi kukadiria mahaba itakusaidia sana ndugu
.... Samahani kama nimekosea kukushauri
 
Liverpool vs Atlanta.png

Katika mechi kali ya UEFA Champion League kati ya Liverpool Vs Atlanta ya italia iliyofanyika katika Uwanja wa Anfield nyumbani kwa liverpool hadi mwisho wa mchezo wenyeji walikuwa na Zero Short on Target. Ninyi wachambuzi, naomba na hili muliongelee.

Ahsante
 
Aisee Simba ina bahati mbaya sana na makanjanja kwa kweli, juzi kaulizwa matola kajibu jana kasema hana match fitness, inawezekana wanatudanganya lakini ukiniambia hawezi kukimbia tena? Source"watu walio karibu na uongozi wa simba"

Kama vile hirizi ya shikhalo aliyomtuma mganga kuitoa ilivyopotezewa na makanjanja hata habari ya CEO barbra kupigwa huko Zanzibar itapotezewa sana tu ila ingekuwa senzo kapigwa makanjanja yangelipuka sana hata kwenye page zao za instagram na twitter

Au ile ngumi ya sehemu hatari niyonzima aliyompiga muzamiru kisogoni ingekuwa imefanywa na mchezaji wa simba halfu red card haijatoka na utopolo awe kapoteza mechi pasingekalika leo kwa wachambuzi makanjanja.

Kw ahili niwapongeze deportivo. la utopolo kwa kuwekeza kwa makanjanja maana sijajua mmetumia stratergy gani zaidi ya "papers"maana they are working tirelessly, so determined.

Mkuu mbona hii comment ya Dauda ni ya kawaida tu.

.. don't take it too personal..
 
Mlimuandama Kitenge now mmehamia kwa Dauda. Ila paka efusii shida nn. Muacheni apost anachopenda.
 
Mlimuandama Kitenge now mmehamia kwa Dauda. Ila paka efusii shida nn. Muacheni apost anachopenda.
Ethics za uandishi wa habari zinataka u balance story sasa kwamba source yako ni walio karibu na uongozi na uongozi wenyewe huulizi kupata side b of the story huo ni ukanjanja sana tu
Mbaya zaidi mnashangilia kwamba mwandishi wa habari yuko huru kuandika anachojisikia yeye ,aiseee huyo kitenge unayemsema alishasababisha Aden Rage akapiga MARUFUKU REDIO ONE KUTANGAZA HABARI ZA SIMBA hiyo ilkuwa way back kabla fani ya radio haijavamiwa na makanjanja ya kutisha kilichoko sasa hivi ni catastrophe anahitajika mtu kama Rage au Hanspope ku deal na hawa makanjanja
 
Mkuu mbona hii comment ya Dauda ni ya kawaida tu.

.. don't take it too personal..
Ethics za uandishi wa habari zinataka u balance story sasa kwamba source yako ni walio karibu na uongozi na uongozi wenyewe huulizi kupata side b of the story huo ni ukanjanja sana tu
Mbaya zaidi mnashangilia kwamba mwandishi wa habari yuko huru kuandika anachojisikia yeye ,aiseee huyo kitenge alishasababisha Aden Rage akapiga MARUFUKU REDIO ONE KUTANGAZA HABARI ZA SIMBA hiyo ilkuwa way back kabla fani ya radio haijavamiwa na makanjanja ya kutisha kilichoko sasa hivi ni catastrophe anahitajika mtu kama Rage au Hanspope ku deal na hawa makanjanja..

SIYO COMMENT HIYO NI HABARI KABISA KA POST. kuna siku kwenye sports extra mmoja wao kapokea texts mda huo akiwa hewani kutoka kwa mdau aliyyenguliwa mchakato wa uenyekiti simba ,aisey alitiririka lawama kwa kamati iliyomuengua huyo mshkaji wake hadi nikabaki mdomo wazi,nilitarajia hata simu ingepigwa kwa wahusika wa simba ili kubalansi storty lakini wapi
KAMA HUAMINI WEWE TUMA SMS YA KUPONDEA UONGOZI WA SIMBA HAT AKAMA NI UONGO UONE JAMAA WATAKAVYOSEREREKA NAYO, LAKINI KAMA UNASEMA WAKO FREE KUANDIKA WANACHOTAKA NI SAWA TU,NAHESHIMU MAONI YAKO
 
Kwa kweli kuna uwekezaji mkubwa mno utopolo wameufanya kwa makanjanja.
Na kazi yao kubwa ni kuandika kila negative inayoweza kuwa upset Simba.
Najua jambo hili wakati fulani linawapa pressure wachezaji wetu na kuongeza mashaka kwa wapenzi wa Simba,ila wakati mwingine maneno yanawachochea wachezaji kufanya vizuri ili kuwa prove wrong.
 
Back
Top Bottom