Huu ulinzi wa VIP protection wa Freeman Mbowe unafikirisha walinzi walikuwa pale ambapo Mbowe hakuwepo?

Kwa maelezo ya Wanachadema wote - Mwamba wao Mh. Mbowe aliona na kurizika kwamba maisha yake yalikuwa hatarini hivyo kujenga mahitaji ya kuwa na VIP PROTECTION tena ya makomandoo.
VIP PROTECTOR huwa hawawi mbali na watu wanaowapa VIP PROTECTION. Kwa maelezo ya shahidi Luteni wa JWTZ Urio na mashahidi wengine wakati VIP PROTECTORS wanakamatwa VIP Mh. Mbowe alikuwa mbali nao ila walikuwa karibu sana na mtafutwa SABAYA

Kibatala: Mhe Jaji Nauliza Swali la Mwisho halafu nitatoa hoja

Kibatala: Ulisema Bwire Alikwambia Wapo katika Utekelezaji Wa Mpango

Shahidi: Siyo Mpango, alisema Samahani Bro tumeshakengeuka, Tumeshawishiwa na Freeman Mbowe, Na Vijana Wapo Kilimanjaro Katika Utejelezaji
Hivi ulifanya graduation ulipohitimu shule ya msingi huko kijijini kwenu?
 
good reasoning......
kuna kesi hapa ndio maana upande wa Jamuhuri wameng'ang'ana.
 
Hivi ulifanya graduation ulipohitimu shule ya msingi huko kijijini kwenu?
1643645536826.png

Muulize Mwamba wenu anayetembea na vitabu kujionyesha anasoma
 
Mkuu nakubalina na wewe hakuna sheria inayokatza mtu kulindwa hata bila kujali huo umaarufu. Hoja yangu hapa ni kuwa kwanini walinzi hao hawakuwa na Mbowe.
Unajua mikataba yao ya kazi ilikuwaje?
 
Kwa maelezo ya Wanachadema wote - Mwamba wao Mh. Mbowe aliona na kurizika kwamba maisha yake yalikuwa hatarini hivyo kujenga mahitaji ya kuwa na VIP PROTECTION tena ya makomandoo.
VIP PROTECTOR huwa hawawi mbali na watu wanaowapa VIP PROTECTION. Kwa maelezo ya shahidi Luteni wa JWTZ Urio na mashahidi wengine wakati VIP PROTECTORS wanakamatwa VIP Mh. Mbowe alikuwa mbali nao ila walikuwa karibu sana na mtafutwa SABAYA

Kibatala: Mhe Jaji Nauliza Swali la Mwisho halafu nitatoa hoja

Kibatala: Ulisema Bwire Alikwambia Wapo katika Utekelezaji Wa Mpango

Shahidi: Siyo Mpango, alisema Samahani Bro tumeshakengeuka, Tumeshawishiwa na Freeman Mbowe, Na Vijana Wapo Kilimanjaro Katika Utejelezaji
Wakati wanakamatwa, Mbowe alikuwa wapi na Sabaya alikuwa wapi?
 
Mkuu nakubalina na wewe hakuna sheria inayokatza mtu kulindwa hata bila kujali huo umaarufu. Hoja yangu hapa ni kuwa kwanini walinzi hao hawakuwa na Mbowe.
Ukitaka kupata mtiririko ulio nyooka, ungechukua mahojiano yote toka pale Kibatala alipokuwa anajenga msingi wa swali lake.

Kwenye sheria hawadokoi hoja moja na kuisimamia kidete kama unavyotaka iwe hapa.
 
Unajua mikataba yao ya kazi ilikuwaje?
Mkataba wa VIP PROTECTION unao muweka VIP PROTECTOR mbali na VIP ni batili.

Meseji nyingine: Hao wawili kwa kuanzia siyo mbaya hawawezi kutelekezwa, watakuwa na Mimi, fulltime, wamekwambia wanataka nini?.

Shahidi: Hii ilitoka kwa Freeman Aikael Mbowe kuja kwangu.
 
Kwani tayari walishakuwa waajiriwa? Yaani watu wafike tu na kupewa mikataba ya ajira pasipo kuzungumza kwa kina?

Hakuna sheria yoyote inayosema mtu atahukumiwa kwa mens rea pekee bali mens rea plus actus reus.

Au mtu anaweza kuhukumiwa kwa only actus reus bila mens rea. Hakuna case law yoyote iliyowahi kutokea mshtakiwa akawa convicted only kwa mens rea.

Kama ipo niwekee hapa. So kwenye hii case ni kupoteza muda tu hakuna kosa wala shitaka la maana dhidi ya kina Mbowe ni kwakuwa tu mahakama ni lazima isikilize ushahidi hata kama ni pumba ili ifanye maamuzi ya haki.
Labda kwa mujibu wa mleta mada anataka tuamini kuwa ugaidi ni strict liability. Kuna mambo yanachekesha humu jamvini mpaka mtu unabaki wazi. Tena ni topic ya mwanzo kabsa kwenye criminal law hata kwa level ya certificate (WAENDE WAKASOME)
 
Kwa maelezo ya Wanachadema wote - Mwamba wao Mh. Mbowe aliona na kurizika kwamba maisha yake yalikuwa hatarini hivyo kujenga mahitaji ya kuwa na VIP PROTECTION tena ya makomandoo.
VIP PROTECTOR huwa hawawi mbali na watu wanaowapa VIP PROTECTION. Kwa maelezo ya shahidi Luteni wa JWTZ Urio na mashahidi wengine wakati VIP PROTECTORS wanakamatwa VIP Mh. Mbowe alikuwa mbali nao ila walikuwa karibu sana na mtafutwa SABAYA

Kibatala: Mhe Jaji Nauliza Swali la Mwisho halafu nitatoa hoja

Kibatala: Ulisema Bwire Alikwambia Wapo katika Utekelezaji Wa Mpango

Shahidi: Siyo Mpango, alisema Samahani Bro tumeshakengeuka, Tumeshawishiwa na Freeman Mbowe, Na Vijana Wapo Kilimanjaro Katika Utejelezaji
Na hiki kipengele huwezi kukiona kwenye taarifa yoyote toka Chadema blog au Martin Masese kutoka Mahakamani.
 
We kibwengo mimi nina walinzi body contact na wengine hutangulia ninapotembelea mahali saa 2 kabla
 
Kwa maelezo ya Wanachadema wote - Mwamba wao Mh. Mbowe aliona na kurizika kwamba maisha yake yalikuwa hatarini hivyo kujenga mahitaji ya kuwa na VIP PROTECTION tena ya makomandoo.
VIP PROTECTOR huwa hawawi mbali na watu wanaowapa VIP PROTECTION. Kwa maelezo ya shahidi Luteni wa JWTZ Urio na mashahidi wengine wakati VIP PROTECTORS wanakamatwa VIP Mh. Mbowe alikuwa mbali nao ila walikuwa karibu sana na mtafutwa SABAYA

Kibatala: Mhe Jaji Nauliza Swali la Mwisho halafu nitatoa hoja

Kibatala: Ulisema Bwire Alikwambia Wapo katika Utekelezaji Wa Mpango

Shahidi: Siyo Mpango, alisema Samahani Bro tumeshakengeuka, Tumeshawishiwa na Freeman Mbowe, Na Vijana Wapo Kilimanjaro Katika Utejelezaji
Dada tulia punguza mhemko
 
Hakuna kada ya hovyo kama ya wanasheria kwani ili uwe mwanasheria mzuri lazima uwe IMMORAL na uwe kipenzi cha wahalifu kam mh. Mbowe
Umeamua kuitukana kada ya sheria kama ni kipenzi cha uhalifu....una matatizo wewe.
 
Mkuu nakubalina na wewe hakuna sheria inayokatza mtu kulindwa hata bila kujali huo umaarufu. Hoja yangu hapa ni kuwa kwanini walinzi hao hawakuwa na Mbowe.
Ni kwasababu walikuwa bado hawajapewa mikataba ya kuanza kazi
 
Weka sheria yoyote ambayo inakataza mtu yeyote mashuhuri kukatazwa kuwa na walinzi binafsi ama sheria inayokataza askari mstaafu ama aliyeachishwa kazi kufanya kazi za ulinzi wa mtu binafsi.

Hakuna sheria kama hiyo ndo maana unaona mawakili wa serikali hawaja cite sheria yoyote inayokataza hayo ya VIP protection.

Umebaki wewe tu unabwabwaja hapa. Na kama wewe utasema ni mwanasheria basi ndo nyie mnaosababisha kada ya sheria ionekane ya kifala kumbe ni kada muhimu sana kote duniani yenye kuheshimika.
Mbona ata Diamond ana body guard mabaunsa.

Kipindi hicho Mvowe kavunjwa mguu na Tundi kashauwawa.
 
Na hiki kipengele huwezi kukiona kwenye taarifa yoyote toka Chadema blog au Martin Masese kutoka Mahakamani.
Haya ni maneno yaliyo tungwa na Urio kazi ni kuithibitishia mahakama kama kweli hiyo kazi ilibadilika, na huyo aliyemwambia Urio naye pia athibitishe la sivyo zitakuwa story za kuambiwa ambazo hazina nafasi katika hukumu.
 
Shangaa- maana mkuu hii ya kusema watanzania wote tumeshajua .....HAPANA imepitiliza . Na maskini kumbe hata hunifahamu

Hakuna mahali niliposema watanzania, tuliza ufahamu wako siku nyingine
 
Back
Top Bottom