Huu ulinzi wa VIP protection wa Freeman Mbowe unafikirisha walinzi walikuwa pale ambapo Mbowe hakuwepo?

Huu ulinzi wa VIP protection wa Freeman Mbowe unafikirisha walinzi walikuwa pale ambapo Mbowe hakuwepo?

Mkuu hatuongelei walinzi tunaongelea VIP PROTECTION- umeelewa. Wewe ulishamuona yule jamaa nyuma y JPM anatoka- hata wakati tnamuuga JMP alikuwa naye.
Yule ni mpambe wa rais, sio mlinzi wa Rais.

Yule ni nembo ya jeshi kuonyesha utawala wa kiraia.

Ile ni alama kuwa yeye ni amir jeshi mkuu.

VIP protectors wanakuwepo kabla ya VIP person kwenda sehemu husika.

Yote kwa yote akina Bwire na wenzie walikuwa threat kwa waovu kama Sabaya na ndio maana baada ya sabaya kupata taarifa kuwa sasa Mbowe alindwa na makomando wenye weledi wao wakaamua kuwabambikia kesi.
 
Una job description yao au ndio unaleta ujuaji? Kwamba kwa sababu ni VIP basi hawawezi fanya reconnaissance ama surveillance kabla Mbowe hajafika?
Maelezo yote ya nini- nataja kjibu Mbowe alikuwa wapi?
 
Kwa hyo inamaana huyu dogo urio kweli amchongee mboye yote hayo

Hata urio ukimsikiliza kwa makini unaweza ona Kuna harufu ya kutendeka maovu
Et VIP protection wanaha mbali na VIP mwenyewe nililiona Hilo mwanzo na Sina Nia kuwa mbowe Ni gaid hapan ila kuna harufu ya jinai hapa
 
Hili la makomandoo wa jeshi la wananchi kumlinda Mbowe ndio limewavuluga wahuni wote na wasiojulikana.
Tokea Uhuru wa taifa hili hakujawahi kutokea mwanasiasa especially wa chama Cha upinzani kulindwa na kikosi maalum Cha makomandoo wasiopungua 4 hili lilikuwa pigo kuu kwa ccm na vibaraka wake maana yake CHADEMA imeanza kuungwa mkono na majeshi hii haikupendezwa na wahuni wa CCM.
 
Kwa maelezo ya Wanachadema wote - Mwamba wao Mh. Mbowe aliona na kurizika kwamba maisha yake yalikuwa hatarini hivyo kujenga mahitaji ya kuwa na VIP PROTECTION tena ya makomandoo.
VIP PROTECTOR huwa hawawi mbali na watu wanaowapa VIP PROTECTION. Kwa maelezo ya shahidi Luteni wa JWTZ Urio na mashahidi wengine wakati VIP PROTECTORS wanakamatwa VIP Mh. Mbowe alikuwa mbali nao ila walikuwa karibu sana na mtafutwa SABAYA

Kibatala: Mhe Jaji Nauliza Swali la Mwisho halafu nitatoa hoja

Kibatala: Ulisema Bwire Alikwambia Wapo katika Utekelezaji Wa Mpango

Shahidi: Siyo Mpango, alisema Samahani Bro tumeshakengeuka, Tumeshawishiwa na Freeman Mbowe, Na Vijana Wapo Kilimanjaro Katika Utejelezaji
Mm naona kama ulinzi haukuwa kwa mbowe pekee bali kwa tundulisu na lema
 
Mkuu nakubalina na wewe hakuna sheria inayokatza mtu kulindwa hata bila kujali huo umaarufu. Hoja yangu hapa ni kuwa kwanini walinzi hao hawakuwa na Mbowe.
Hata kama ni wewe uvunjiweclub yako, uharibiwe biashara zako,, utakosa kuwa na kinyongo kweli?,,
Mi naona kuna ka ukweli kwenye tuhuma hizo, ushahidi tu ndo hautatosha
 
Hili la makomandoo wa jeshi la wananchi kumlinda Mbowe ndio limewavuluga wahuni wote na wasiojulikana.
Tokea Uhuru wa taifa hili hakujawahi kutokea mwanasiasa especially wa chama Cha upinzani kulindwa na kikosi maalum Cha makomandoo wasiopungua 4 hili lilikuwa pigo kuu kwa ccm na vibaraka wake maana yake CHADEMA imeanza kuungwa mkono na majeshi hii haikupendezwa na wahuni wa CCM.
Exactly [emoji817]% ccm waliogopa hilo. Wakaamua kuwabambikia kesi
 
Maelezo yote ya nini- nataja kjibu Mbowe alikuwa wapi?
Hauna elimu yoyote ya intellijensia, kwamba eti walinzi wakiwa Bukoba lazima uwe Bukoba? Sasa surveillance afanye nani?
 
Back
Top Bottom