nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,731
- 4,271
Yule ni mpambe wa rais, sio mlinzi wa Rais.Mkuu hatuongelei walinzi tunaongelea VIP PROTECTION- umeelewa. Wewe ulishamuona yule jamaa nyuma y JPM anatoka- hata wakati tnamuuga JMP alikuwa naye.
Yule ni nembo ya jeshi kuonyesha utawala wa kiraia.
Ile ni alama kuwa yeye ni amir jeshi mkuu.
VIP protectors wanakuwepo kabla ya VIP person kwenda sehemu husika.
Yote kwa yote akina Bwire na wenzie walikuwa threat kwa waovu kama Sabaya na ndio maana baada ya sabaya kupata taarifa kuwa sasa Mbowe alindwa na makomando wenye weledi wao wakaamua kuwabambikia kesi.