Huu umaskini ni wa kutisha

Watu wanaoishi hivyo nchi hii ni wengiii mnooo. Kumbe hujaona mengi, siku moja pita hata Kariakoo saa 8 usiku ujionee, watu wanalala kwenye mabox ya kukodi pembeni kwenye maduka ya watu kwa gharama ya Tsh 400...
Hajui hata Ulaya kuna hao homeless, tena kule kuna majira ya baridi Kali na watu wanalala nje
Nenda India huko ndio utashangaa zaidi
 
Ujio wa Magufuli kwenye uongozi wa Tanzania umeleta umasikini wa kutisha halafu Watu wanaoneshwa Madaraja.

N.a. ndio haohao juzi na jana walikuwa wanalia ilhali wananjaa.
Hivi lini utaondokana na mawazo mgando!
 
Hajui hata Ulaya kuna hao homeless, tena kule kuna majira ya baridi Kali na watu wanalala nje
Nenda India huko ndio utashangaa zaidi
India kuna masikini wa kutisha wala hapa sijasema dunia nzima ni hapa.

Marekani homeless wanalala kwenye magari yao. It's incomparable
 
Hawa ndio watanzania wanyonge. ptuuuu
Inapokuja Simba Sports Club tuko pamoja, huku kwingine sijawai kukuelewa.

CDM & CCM margin yao ni ndogo sana.

Bora CHAUMA.

CDM -hakina demokrasia ndani ya mfumo wake, sasa sijui wakipewa nchi.

CCM -wana mfumo mzuri ndani ya chama ila nje ya chama ni funza waharibifu tu.
 
Wewe kama una kipato mnunulie godoro na utoe kama sadaka kuleta uzi huku haisaidii chochote
 
Wanaunganisha ulofa wao na serikali hawajitambui, serikali ina wajibu wake na wewe unawajibu wako , tekeleza wajibu wako acha gubu, fursa ni nyingi sana utafanikiwa, ukiendekeza personal attack kitakachofuata ni kufuru tu
 
Unachosema ni sahihi, mi nimeiona kea macho yangu
 
Kabda kwa wafanyakazi.

Ila wengine hakuna uhalisia...!
 
Ujio wa Magufuli kwenye uongozi wa Tanzania umeleta umasikini wa kutisha halafu Watu wanaoneshwa Madaraja.

N.a. ndio haohao juzi na jana walikuwa wanalia ilhali wananjaa.

We jamaa ni fala sana, ulitaka agonge hodi mlangoni kwa kila mtu ampe fedha ndo utasema amefanya kazi
 
Dah Mungu amtangulie uyo mama.
Je uyo mama anafanya kibarua chochote.
 
haya maisha bhana saa nyingine mwanaume ukiwa na pesa bado mwanamke anakusomea gap akuangushe yaan ukute tu ndio umejenga na umemtoa huko shamba umemuonesha mji anaanza sasa kwenda mahakamani kudai hati ya 50 kwa 50 kwa visingizio vya watoto.

aseee nawasio na kitu ndio wanaishi kama huyo cha pombe na maisha yanaenda ila ndio ivo hayo maisha ya hivyo ni ya kujitoa ufahamu sana kama kuchapiwa anachapiwa kama kawa.
 
Kumbe wale wanaolala nje ya maduka k/koo huwa wanalipia aisee??
Nilikua sijui hili nilidhani wanajiegesha bure
 
Na wewe unaanza lini kujitegemea au unasubiri kurithi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…