Huu umaskini ni wa kutisha

Ila
Ila hao wanaokimbilia dar ni km manajitakia maisha magum ukiachana na waliozaliwa hapo,
 
Hiyo familia imepitia mikononi mwako ili uweze kuwasaidia kwa kadiri ya uwezo wako na sio kuja huku mitandaoni na kuwakashifu na kuwakejeli.
 
Kwani hujui wenye kelele wengi ni wale ambao hawana lolote la kuchangia? Wapo wapo tu?
🤣🤣🤣alaf sasa jana mume kaja kalewa kasahau mlango wa chumba chake kaenda kugonga chumba cha mwingine ukawa ugomvi balaaa mke anaulizwa anaeogonga mlango nani anamhis mkewe ana mcheat kumbe mzee kasahau mlango
 
Hiyo familia imepitia mikononi mwako ili uweze kuwasaidia kwa kadiri ya uwezo wako na sio kuja huku mitandaoni na kuwakashifu na kuwakejeli.
Kweli kabisa
Binadamu mkamilifu ni yule anayesikia maumivu ya mwenzake na kuyafanyia kazi
 
Umechukua hatua gani mkuu walau kuwasaidia s unajua tupo uchum wa kat msaidie mkuu ili twende sawa na uchumi huu.

Awasamehe kodi kwa angalizo kuwa fedha za kodi wanunue angalau kitanda cha watoto, wao waendelee kulalia mkeka!!
 
kuna maccm kibao yamefurahi magufuli kufa ila yanajifanya kuhuzunika mtandaoni
 
Hiyo familia imepitia mikononi mwako ili uweze kuwasaidia kwa kadiri ya uwezo wako na sio kuja huku mitandaoni na kuwakashifu na kuwakejeli.

Hiyo familia imepitia mikononi mwako ili uweze kuwasaidia kwa kadiri ya uwezo wako na sio kuja huku mitandaoni na kuwakashifu na kuwakejeli.
Sawa dada nitajitahid ku jikuna mkono utakapofikia ila mbona sijawakshif
 
Kweli kabisa
Binadamu mkamilifu ni yule anayesikia maumivu ya mwenzake na kuyafanyia kazi
Sasa wengine ndio Kama hao... Wanakuja kutujazia nyuzi humu za kejeli. Badala ya kutoa msaada hata kidogo kwa kadiri ya alivyojaliwa. Watu tunajisahau Sana. Tunafikiri hivi tulivyonavyo Ni kwa ujanja na akili zetu .... Ni Kudra za Mwenyezi Mungu. Maisha huwa yanageuka wakati mwingine huwezi kuamini.

Tenda Wema ... Malipo Ni Hapa Hapa Duniani.
 
MUNGU awasaidie watoke kwenye hali hiyo ngumu ya kimaisha...
 
Kuna watu wana dharau utadhani wao wana maisha mazuri sana, aliyempa yeye ni Mungu na aliemnyima mwingine ni Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nimeiona kuanzia posta mpaka k koo dah iliniuma sn ule mferej wa pe k koo kuelekea karume ndo choo yaan usiku kuna meng
 
umeongea point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…