Huu umeme wamekata nchi nzima?

Huku niliko Pwani wilaya ya Kibaha wamekata muda mfupi uliopita!
 
Now tanesco si wakijiskia wanaamua tu kuupiga umeme chini.
Nina mashaka hao jamaa wa kukata wanakula mlungula kutoka kwa wenye vijiwe/viwanda.

Huku kusikokuwa na chochote, umeme unaweza kupotea siku mbili na ukirudi haumalizi siku unasepa tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…