Huu umeme wamekata nchi nzima?

Hii nchi ipo autopilot

Wananchi wengi wakiweka solar watakuja na tozo ya kumiliki solar.

Ni kama kuchimba kisima. Unakilipia kodi
 
Sasa demu akinuna, mtoa nauli je atakuwa kwenye hali gani πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
kwaiyo kademu inabidi kajichekeshe huku komwe lake linatiririsha jasho asije akakosa nauli ya kurudia tegeta. Tanesco nyoko sana πŸ˜‚
 
Hivi vinapoharibika vifaa vya grid ya Taifa ,hatuna plan b (vyanzo vengine vya kuendelea kuzalisha umeme) hilo treni la mwendokasi lilohaidiwa leo ni siku ya tatu napata jibu.
 
Zanzibar yote umeme hakuna alafu baadae utawasikia wakisema " Muungano unatunyonya"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…