Ni wakimbizi walioko kwenye nafasi za maamuziSiyo nchi, Uongozi ndiyo wa kipuuuzi
Na watakwambia- Hatunywi sumu hatujinyongi..!!Na watu wote watashangilia!
CCM watakupigia kwa niaba ππHata wafanyaje sitakaa nipigie kura
Ni Bora wafanye hivyo kuliko wanipotezee muda wa kwenda kupanga foleniCCM watakupigia kwa niaba ππ
Na huna cha kuwafanya
mpaka sasa hivi sa nne Arusha hamna umemeUmerudi kama dakika 15 nyuma, lakini huwezi sikia waziri kajihudhuru afrika waje watutawale tu.