Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 2,310
- 5,482
Ni wakimbizi walioko kwenye nafasi za maamuziSiyo nchi, Uongozi ndiyo wa kipuuuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wakimbizi walioko kwenye nafasi za maamuziSiyo nchi, Uongozi ndiyo wa kipuuuzi
Na watakwambia- Hatunywi sumu hatujinyongi..!!Na watu wote watashangilia!
CCM watakupigia kwa niaba 😂😂Hata wafanyaje sitakaa nipigie kura
Ni Bora wafanye hivyo kuliko wanipotezee muda wa kwenda kupanga foleniCCM watakupigia kwa niaba 😂😂
Na huna cha kuwafanya
mpaka sasa hivi sa nne Arusha hamna umemeUmerudi kama dakika 15 nyuma, lakini huwezi sikia waziri kajihudhuru afrika waje watutawale tu.