Baltazar Engongo
JF-Expert Member
- May 6, 2024
- 604
- 932
Unamaanisha TRA inatupiwa sana jicho na TISS hivyo uzembe na wizi hakuna? Au upo kidogo kulinganisha na bandari?Wazembe na wezi hata BOT hawakosekani. Lakini namna Serikali inavyotupia jicho sekta hizo kupitia TISS inatumia nguvu nyingi.
Ni bora Serikali ibakie na sekta chache strategic izisimamie kulikko kuwa kila mahali. Kwa mfano kwa nini Serikali ifanye biashara ya clearing and forwarding kupitia TASAC? Trivialities
Muongezee huyo Lokopromo kuwa hiyo Bandari ya Bagamoyo ilikuwa kwanza inalenga kuleta Generation 4 ships ambazo kwa sasa zina dock Durban peke yake katika eneo hili. Pia Bandari ya Bagamoyo ilikuwa na package ya Industrial estate ambayo ingezalisha bidhaa zote zile Watanzania wanafuata Guangzhou10billion usd investment na ilikuwa largest maritime project in Africa second largest maritime project in the world by thata time na pia ingekuwa largest port in africa na multiplier effects kwa uchumi ingekuwa kubwa mno tungekuwa tunashindana na akina port dubai ila tukauwa mradi wa kimkakati.
Mwambie pia Bams kuwa TBL by 90% ni mali binafsi with InBev majority shares. Je kuna mapungufu gani kwenye uwapo wa bia au kutengeneza ajira, kukusanya kodi na Serikali kupata gawio?Pale airport DAHACO wapo miaka 30 sasa, kwanini tusiwaondoe tukaendesha sisi wenyewe?. Acheni hulka ya kipuuzi ya kuwajaza watanzania hizi akili zenye kujaa uoga.
Kwanini tusingetumia huo mfumo wa JV hapo uwanja wa ndege na pale ni eneo nyeti la kitaifa?. Acheni pia kuwajaza wasiwasi wananchi kwa hoja zenu hizi.
Bandari ilihitaji uwekezaji kwani mzigo unaopakiwa na kushushiwa ni mwingi na unazidi kuongezeka, pia inao uhitaji wa wafanyakazi kukuzwa kitaaluma.
Yaangalie hayo masuala kwa undani kabla ya kuja na hoja negative za kwamba eti tunaibiwa au tunapoteza uhuru wetu, hizo ni fikra za kijamaa hazina tena nafasi kwenye uchumi shindani wa shoroba tunaokabiliana nao hivi sasa.
Lengo la kubinafsishwa ilikua kupunguza mzigo kwa serikali au kuleta tija na faida kwenye uchumi wa nchi? Kama yalishindwa kukua na kuleta faida kwenye uchumi ipi ilikua faida ya kuyabinafsisha?Hata yale ambayo hayajukufanya vizuri at least yalitoka mikononi mwa Serikali na yakapunguza mzigo wa Serikali kutoa subsidy kila mwaka kwa ajili ya kuyaendesha. Mashirika kama NMC, RTC, NBC etc
Mwambie pia Bams kuwa TBL by 90% ni mali binafsi with InBev majority shares. Je kuna mapungufu gani kwenye uwapo wa bia au kutengeneza ajira, kukusanya kodi na Serikali kupata gawioPale airport DAHACO wapo miaka 30 sasa, kwanini tusiwaondoe tukaendesha sisi wenyewe?. Acheni hulka ya kipuuzi ya kuwajaza watanzania hizi akili zenye kujaa uoga.
Kwanini tusingetumia huo mfumo wa JV hapo uwanja wa ndege na pale ni eneo nyeti la kitaifa?. Acheni pia kuwajaza wasiwasi wananchi kwa hoja zenu hizi.
Bandari ilihitaji uwekezaji kwani mzigo unaopakiwa na kushushiwa ni mwingi na unazidi kuongezeka, pia inao uhitaji wa wafanyakazi kukuzwa kitaaluma.
Yaangalie hayo masuala kwa undani kabla ya kuja na hoja negative za kwamba eti tunaibiwa au tunapoteza uhuru wetu, hizo ni fikra za kijamaa hazina tena nafasi kwenye uchumi shindani wa shoroba tunaokabiliana nao hivi sasa.
Hapa tunazungumza vitu ambavyo tunahisi vingetokea, hatujui kama ingekua hivyo au osingekua hivyo. Story za uwekezaji huwa nzuri mwanzoniMuongezee huyo Lokopromo kuwa hiyo Bandari ya Bagamoyo ilikuwa kwanza inalenga kuleta Generation 4 ships ambazo kwa sasa zina dock Durban peke yake katika eneo hili. Pia Bandari ya Bagamoyo ilikuwa na package ya Industrial estate ambayo ingezalisha bidhaa zote zile Watanzania wanafuata Guangzhou
Serikali za uchumi wa soko hazifanyi biashara, ila zile za controlled economy zinafanya biashara. Kwote huko kuna pros na cons.Hapa tunakubaliana sasa kuwa serikali zinafanya biashara?
Ungesema serikali flani ya nchi zilizoendelea haifanyi biashara ndio ungekua mfano halisi
Ulikua na confidence serikali haipaswi kufanya biashara, jambo ambalo ni la uongo mkubwa sababu serikali hufanya biashara kwa nchi zote
Wanajaribu lakini kuna red flags nyingi na ndiyo tatizo kubwa la Watanzania wanataka utajiri wa haraka harakaHuyo mwenzako hapo amesema huko TRA Kuna the finest wanaoweza kulinda pesa zinazokusanywa
Nirahisishe swali, hizo serikali za uchumi wa soko ni zipi? Namaanisha taja nchi flaniSerikali za uchumi wa soko hazifanyi biashara, ila zile za controlled economy zinafanya biashara. Kwote huko kuna pros na cons.
Lakini best practice ni Serikali kujikita na utengenezaji sera, regulatory na kukusanya kodi tu
Kuna regulatory framework inayo check yote hayoHapo bado umeonyesha hakuna hataaana ya huo uwekezaji sababu wasimamizi wa uwekezaji ni serikali ambayo Ina hao hao watanzania ambao ww huwatakk. Swali langu kwako huo uwekezaji utakua na maana gani ikiwa serikali inayoongozwa na hao hao watanzania ndio wasimamizi wa uwekezaji?
Hiyo regulatory framework ni ya watanzania?Kuna regulatory framework inayo check yote hayo
Kwani hapo TPA wewe uko idara gani? Usiogope mabadiliko kwani ukiwa mchapa kazi wataķu take on board tuKweli kabisa, swali langu lilikuja pale nilipoona unasema uwekezaji huu utakua na maana kwetu. Maswali ndio yalikuja hapo, hiyo maana itatoka wapi ikiwa mamlaka za kusimamia na kukusanya mapato ya hao wawekezaji bado yatakua chini ya watanzania
Tunasema hatuna ufanisi, sisi ni wezi na wazembe hivyo tunampa mwekezaji, lakini Happ hapo taasisi kubwa za kumsimamia mwekezaji bado tunazo sisi, tunakua tumefanya nn?
kati ya vitu tunavyotakiwa kuwa makini navyo, hiki ni kimojawapo. ukiona mtu anaita ndugu zake wamiliki mashamba ya jumuiya ujue amehakikishiwa kwamba watamlinda, na pia kikinuka anapo pa kukimbilia na wamemhakikishia akikwapua mali watamtunzia huko kwao. Shindwa kabisa shetani kwa Jina la Yesu.Miaka iliyopita, tukisikia wawekezaji, tunajua ni watu wenye mitaji na tekinolojia, wanakuja kujenga na kuendesha miradi yao waliyoijenga wenyewe.
Lakini, kwa sasa, ghafla maana ya uwekezaji imebadilika. Hao wawekezaji wa sasa, wanakuja wanachukua rasilimali za nchi ambazo tayari zimejengwa au kuendelezwa. Wanapewa, na kuanza kukusanya mapato. Hivi hawa ni wawekezaji au Wavunaji?
1) Marehemu Magufuli aliwakataa wawekezaji wa Kichina ambao wangejenga bandari mpya Bagamoyo, na ambayo wangeiendesha wenyewe. Tuliwakataa waliotaka kujenga bandari mpya. HALAFU? Kupitia mkataba wa IGA, mkataba wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Duniani, DPW wakapewa bandari mama ya Dar es Salaam ambayo tayari nchi imekwishawekeza zaidi ya dola bilioni 10, na mwushoni kabisa, kwa mkupuo nchi imewekeza dola bilioni 1. DPW tunaambiwa eti atawekeza dola nusu billion. Katika hali ta kawaida, tujiulize, hivi sisi tuna utimamu wa akili? Unamkataa anayekuja kuwekeza mradi mpya, halafu unamkubalia mvunaji!! Huu ni uporaji wa kitegauchumi cha Taifa. Waliowezesha uporaji huu, wanalitakia nini Taifa hili?
2) Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Arusha, tayari ulikwishajengwa, tayari ulikuwa unafanya kazi, sasa amepewa mwarabu!! Hivi aliyepewa huo uwanja ni mwekezaji au mvunaji? Kama ni mwekezaji kwa nini hakupewa eneo akajenge uwanja wa kwake?
3) Kuna makampuni mengine toka Uarabuni yamepewa mbuga za wanyama na hifadhi za misitu. Hivi hawa ni wawekezaji au wavunaji/waporaji? Kama ni wawekezaji, wameleta pundamilia, twiga, fisi na ngiri wangapi kwenye hizo hifadhi? Au wamepanda mininga na mitundu mingapi kwenye hiyo misitu hadi waitwe wawekezaji?
Hivi tumefikia mahali pa kuwapa waarabu karibia kila rasilimali tulizozitolea jasho kwa miaka mingi, kwa lengo gani? Mtu yeyote ambaye hana uchumi ni mtu duni na automatically atakuwa mtumwa wa mwenye uchumi. Tunapowapa kila mlango wa uchumi waarabu, automatically tunatengeneza mazingira ya kuwafanya Watanganyika huko mbeleni kuwa watumwa wa waarabu ndani ya Taifa lao.
Jamani, tuwaache walio na tamaa za ajabu waendelee kushangilia na kufurahia hadaa wazifanyazo kwa Taifa, wao wakirushiwa hata dola laki 1, wapo tayari hata kuua matumaini ya vizazi vyote vijavyo, LAKINI walio na hekima ni lazima tuendelee kupaza sauti zetu na kusema kuwa huu uovu, kama umma wa watu wazalendo, tunasema HAPANA. Nchi inawahitaji wawekezaji wa ndani na nje, lakini wavunaji wa wa nje wa mazao ya uwekezaji wetu, tuseme, hapana. Tuongozwe na uzalendo na sio tamaa ya mapato binafsi.
Arusha hakuna uwanja wa ndege wa kimataifaMiaka iliyopita, tukisikia wawekezaji, tunajua ni watu wenye mitaji na tekinolojia, wanakuja kujenga na kuendesha miradi yao waliyoijenga wenyewe.

Kutoka kutoa points ambazo pengine zingeweza kuleta mjadala mzuri mpaka kuhamia kwenye utaniKwani hapo TPA wewe uko idara gani? Usiogope mabadiliko kwani ukiwa mchapa kazi wataķu take on board tu
Tulaumu WASOMI wenye vyeti Kwanza Ila akiri Hamna kabisa, thinking yao iko low Sana, alafu ukute huyo mshauri ana MKE na watoto anaitwa Baba Bora au mama Bora HUKU akitaka watoto wao wapate baraka za Mungu, (mara nyingi wanapataga RAHANA ya ukoo).Miaka iliyopita, tukisikia wawekezaji, tunajua ni watu wenye mitaji na tekinolojia, wanakuja kujenga na kuendesha miradi yao waliyoijenga wenyewe.
Lakini, kwa sasa, ghafla maana ya uwekezaji imebadilika. Hao wawekezaji wa sasa, wanakuja wanachukua rasilimali za nchi ambazo tayari zimejengwa au kuendelezwa. Wanapewa, na kuanza kukusanya mapato. Hivi hawa ni wawekezaji au Wavunaji?
1) Marehemu Magufuli aliwakataa wawekezaji wa Kichina ambao wangejenga bandari mpya Bagamoyo, na ambayo wangeiendesha wenyewe. Tuliwakataa waliotaka kujenga bandari mpya. HALAFU? Kupitia mkataba wa IGA, mkataba wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Duniani, DPW wakapewa bandari mama ya Dar es Salaam ambayo tayari nchi imekwishawekeza zaidi ya dola bilioni 10, na mwushoni kabisa, kwa mkupuo nchi imewekeza dola bilioni 1. DPW tunaambiwa eti atawekeza dola nusu billion. Katika hali ta kawaida, tujiulize, hivi sisi tuna utimamu wa akili? Unamkataa anayekuja kuwekeza mradi mpya, halafu unamkubalia mvunaji!! Huu ni uporaji wa kitegauchumi cha Taifa. Waliowezesha uporaji huu, wanalitakia nini Taifa hili?
2) Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Arusha, tayari ulikwishajengwa, tayari ulikuwa unafanya kazi, sasa amepewa mwarabu!! Hivi aliyepewa huo uwanja ni mwekezaji au mvunaji? Kama ni mwekezaji kwa nini hakupewa eneo akajenge uwanja wa kwake?
3) Kuna makampuni mengine toka Uarabuni yamepewa mbuga za wanyama na hifadhi za misitu. Hivi hawa ni wawekezaji au wavunaji/waporaji? Kama ni wawekezaji, wameleta pundamilia, twiga, fisi na ngiri wangapi kwenye hizo hifadhi? Au wamepanda mininga na mitundu mingapi kwenye hiyo misitu hadi waitwe wawekezaji?
Hivi tumefikia mahali pa kuwapa waarabu karibia kila rasilimali tulizozitolea jasho kwa miaka mingi, kwa lengo gani? Mtu yeyote ambaye hana uchumi ni mtu duni na automatically atakuwa mtumwa wa mwenye uchumi. Tunapowapa kila mlango wa uchumi waarabu, automatically tunatengeneza mazingira ya kuwafanya Watanganyika huko mbeleni kuwa watumwa wa waarabu ndani ya Taifa lao.
Jamani, tuwaache walio na tamaa za ajabu waendelee kushangilia na kufurahia hadaa wazifanyazo kwa Taifa, wao wakirushiwa hata dola laki 1, wapo tayari hata kuua matumaini ya vizazi vyote vijavyo, LAKINI walio na hekima ni lazima tuendelee kupaza sauti zetu na kusema kuwa huu uovu, kama umma wa watu wazalendo, tunasema HAPANA. Nchi inawahitaji wawekezaji wa ndani na nje, lakini wavunaji wa wa nje wa mazao ya uwekezaji wetu, tuseme, hapana. Tuongozwe na uzalendo na sio tamaa ya mapato binafsi.
Hio Airtel unajua inamilikiwa na nani? Na hio nmb unajua inamilikiwa na nani? Unaweza kuweka dondoo kwa ndani na si kutuuliza sisi maswali unatukera... Weka info! Na sikujibu kwa jazbaMna chuki tu na mwarabu,na hamumchukii mwarabu kwa uarabu wake,Bali dini yake,angelikua mkiristo Wala msingetokwa jasho la makalio kumpinga,pingeni na Airtel na nmb tuone
Nimekupata mkuuNdio uelewe sasa hata huyo uwekezaji pia hauna maana sababu wataokusanya hayo mapato ni hao hao TRA
Airtel ya mhindi,nmb serikali Ina hisa chini ya 32%,Kuna wazungu ndani ya nmb,pigeni kelele na hukoHio Airtel unajua inamilikiwa na nani? Na hio nmb unajua inamilikiwa na nani? Unaweza kuweka dondoo kwa ndani na si kutuuliza sisi maswali unatukera... Weka info! Na sikujibu kwa jazba
Report ya CAG 2022, angalia humo uone bilioni 4 zilizvyopotea BOT kwa sababu tu waliziteketeza sababu ya uchakavu. CAG akagundua haikua sahihi, uliza sasa nani alikamatwa au kuwajibishwaNimekupata mkuu