Huu umilikishwaji wa vitega uchumi muhimu vya nchi kwa waarabu, ni uwekezaji au uvunaji?

Wazembe na wezi hata BOT hawakosekani. Lakini namna Serikali inavyotupia jicho sekta hizo kupitia TISS inatumia nguvu nyingi.

Ni bora Serikali ibakie na sekta chache strategic izisimamie kulikko kuwa kila mahali. Kwa mfano kwa nini Serikali ifanye biashara ya clearing and forwarding kupitia TASAC? Trivialities
Unamaanisha TRA inatupiwa sana jicho na TISS hivyo uzembe na wizi hakuna? Au upo kidogo kulinganisha na bandari?

Umesema watanzania ni wazembe hawana ufanisi na wezi, hizo clearing agents zikiwa private watu wa TRA wa kwenda kukagua, kukadiria na kuchukua kodi watakua wa kutoka nchi gani?
 
10billion usd investment na ilikuwa largest maritime project in Africa second largest maritime project in the world by thata time na pia ingekuwa largest port in africa na multiplier effects kwa uchumi ingekuwa kubwa mno tungekuwa tunashindana na akina port dubai ila tukauwa mradi wa kimkakati.
Muongezee huyo Lokopromo kuwa hiyo Bandari ya Bagamoyo ilikuwa kwanza inalenga kuleta Generation 4 ships ambazo kwa sasa zina dock Durban peke yake katika eneo hili. Pia Bandari ya Bagamoyo ilikuwa na package ya Industrial estate ambayo ingezalisha bidhaa zote zile Watanzania wanafuata Guangzhou
 
Pale airport DAHACO wapo miaka 30 sasa, kwanini tusiwaondoe tukaendesha sisi wenyewe?. Acheni hulka ya kipuuzi ya kuwajaza watanzania hizi akili zenye kujaa uoga.

Kwanini tusingetumia huo mfumo wa JV hapo uwanja wa ndege na pale ni eneo nyeti la kitaifa?. Acheni pia kuwajaza wasiwasi wananchi kwa hoja zenu hizi.

Bandari ilihitaji uwekezaji kwani mzigo unaopakiwa na kushushiwa ni mwingi na unazidi kuongezeka, pia inao uhitaji wa wafanyakazi kukuzwa kitaaluma.

Yaangalie hayo masuala kwa undani kabla ya kuja na hoja negative za kwamba eti tunaibiwa au tunapoteza uhuru wetu, hizo ni fikra za kijamaa hazina tena nafasi kwenye uchumi shindani wa shoroba tunaokabiliana nao hivi sasa.
Mwambie pia Bams kuwa TBL by 90% ni mali binafsi with InBev majority shares. Je kuna mapungufu gani kwenye uwapo wa bia au kutengeneza ajira, kukusanya kodi na Serikali kupata gawio?
 
Hata yale ambayo hayajukufanya vizuri at least yalitoka mikononi mwa Serikali na yakapunguza mzigo wa Serikali kutoa subsidy kila mwaka kwa ajili ya kuyaendesha. Mashirika kama NMC, RTC, NBC etc
Lengo la kubinafsishwa ilikua kupunguza mzigo kwa serikali au kuleta tija na faida kwenye uchumi wa nchi? Kama yalishindwa kukua na kuleta faida kwenye uchumi ipi ilikua faida ya kuyabinafsisha?

Maswali yangu kwako yalikuja kutokana na like ulichokua umeandika na kuonyesha ubinafsishaji ulifanikiwa ukatolea mfano TBL, bila kujua mashirika mengi yalikufa kabisa
 
Pale airport DAHACO wapo miaka 30 sasa, kwanini tusiwaondoe tukaendesha sisi wenyewe?. Acheni hulka ya kipuuzi ya kuwajaza watanzania hizi akili zenye kujaa uoga.

Kwanini tusingetumia huo mfumo wa JV hapo uwanja wa ndege na pale ni eneo nyeti la kitaifa?. Acheni pia kuwajaza wasiwasi wananchi kwa hoja zenu hizi.

Bandari ilihitaji uwekezaji kwani mzigo unaopakiwa na kushushiwa ni mwingi na unazidi kuongezeka, pia inao uhitaji wa wafanyakazi kukuzwa kitaaluma.

Yaangalie hayo masuala kwa undani kabla ya kuja na hoja negative za kwamba eti tunaibiwa au tunapoteza uhuru wetu, hizo ni fikra za kijamaa hazina tena nafasi kwenye uchumi shindani wa shoroba tunaokabiliana nao hivi sasa.
Mwambie pia Bams kuwa TBL by 90% ni mali binafsi with InBev majority shares. Je kuna mapungufu gani kwenye uwapo wa bia au kutengeneza ajira, kukusanya kodi na Serikali kupata gawio
 
Muongezee huyo Lokopromo kuwa hiyo Bandari ya Bagamoyo ilikuwa kwanza inalenga kuleta Generation 4 ships ambazo kwa sasa zina dock Durban peke yake katika eneo hili. Pia Bandari ya Bagamoyo ilikuwa na package ya Industrial estate ambayo ingezalisha bidhaa zote zile Watanzania wanafuata Guangzhou
Hapa tunazungumza vitu ambavyo tunahisi vingetokea, hatujui kama ingekua hivyo au osingekua hivyo. Story za uwekezaji huwa nzuri mwanzoni
Swali nililokuuliza huyo ni kipi kimefanya mama samia asiendelee na mazungumzo ikiwa alifufua mazungumzo na huyo mwekezaji na serikali ikakaa nae mezani lakini wakshindwana. Je ni mama samia aliona ni story tu kama hizi zako bila uthibitisho wa kwenye mkataba au kulikua na nn?
 
Hapa tunakubaliana sasa kuwa serikali zinafanya biashara?
Ungesema serikali flani ya nchi zilizoendelea haifanyi biashara ndio ungekua mfano halisi

Ulikua na confidence serikali haipaswi kufanya biashara, jambo ambalo ni la uongo mkubwa sababu serikali hufanya biashara kwa nchi zote
Serikali za uchumi wa soko hazifanyi biashara, ila zile za controlled economy zinafanya biashara. Kwote huko kuna pros na cons.

Lakini best practice ni Serikali kujikita na utengenezaji sera, regulatory na kukusanya kodi tu
 
Huyo mwenzako hapo amesema huko TRA Kuna the finest wanaoweza kulinda pesa zinazokusanywa
Wanajaribu lakini kuna red flags nyingi na ndiyo tatizo kubwa la Watanzania wanataka utajiri wa haraka haraka
 
Serikali za uchumi wa soko hazifanyi biashara, ila zile za controlled economy zinafanya biashara. Kwote huko kuna pros na cons.

Lakini best practice ni Serikali kujikita na utengenezaji sera, regulatory na kukusanya kodi tu
Nirahisishe swali, hizo serikali za uchumi wa soko ni zipi? Namaanisha taja nchi flani
 
Hapo bado umeonyesha hakuna hataaana ya huo uwekezaji sababu wasimamizi wa uwekezaji ni serikali ambayo Ina hao hao watanzania ambao ww huwatakk. Swali langu kwako huo uwekezaji utakua na maana gani ikiwa serikali inayoongozwa na hao hao watanzania ndio wasimamizi wa uwekezaji?
Kuna regulatory framework inayo check yote hayo
 
Kweli kabisa, swali langu lilikuja pale nilipoona unasema uwekezaji huu utakua na maana kwetu. Maswali ndio yalikuja hapo, hiyo maana itatoka wapi ikiwa mamlaka za kusimamia na kukusanya mapato ya hao wawekezaji bado yatakua chini ya watanzania
Tunasema hatuna ufanisi, sisi ni wezi na wazembe hivyo tunampa mwekezaji, lakini Happ hapo taasisi kubwa za kumsimamia mwekezaji bado tunazo sisi, tunakua tumefanya nn?
Kwani hapo TPA wewe uko idara gani? Usiogope mabadiliko kwani ukiwa mchapa kazi wataķu take on board tu
 
Miaka iliyopita, tukisikia wawekezaji, tunajua ni watu wenye mitaji na tekinolojia, wanakuja kujenga na kuendesha miradi yao waliyoijenga wenyewe.

Lakini, kwa sasa, ghafla maana ya uwekezaji imebadilika. Hao wawekezaji wa sasa, wanakuja wanachukua rasilimali za nchi ambazo tayari zimejengwa au kuendelezwa. Wanapewa, na kuanza kukusanya mapato. Hivi hawa ni wawekezaji au Wavunaji?

1) Marehemu Magufuli aliwakataa wawekezaji wa Kichina ambao wangejenga bandari mpya Bagamoyo, na ambayo wangeiendesha wenyewe. Tuliwakataa waliotaka kujenga bandari mpya. HALAFU? Kupitia mkataba wa IGA, mkataba wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Duniani, DPW wakapewa bandari mama ya Dar es Salaam ambayo tayari nchi imekwishawekeza zaidi ya dola bilioni 10, na mwushoni kabisa, kwa mkupuo nchi imewekeza dola bilioni 1. DPW tunaambiwa eti atawekeza dola nusu billion. Katika hali ta kawaida, tujiulize, hivi sisi tuna utimamu wa akili? Unamkataa anayekuja kuwekeza mradi mpya, halafu unamkubalia mvunaji!! Huu ni uporaji wa kitegauchumi cha Taifa. Waliowezesha uporaji huu, wanalitakia nini Taifa hili?

2) Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Arusha, tayari ulikwishajengwa, tayari ulikuwa unafanya kazi, sasa amepewa mwarabu!! Hivi aliyepewa huo uwanja ni mwekezaji au mvunaji? Kama ni mwekezaji kwa nini hakupewa eneo akajenge uwanja wa kwake?

3) Kuna makampuni mengine toka Uarabuni yamepewa mbuga za wanyama na hifadhi za misitu. Hivi hawa ni wawekezaji au wavunaji/waporaji? Kama ni wawekezaji, wameleta pundamilia, twiga, fisi na ngiri wangapi kwenye hizo hifadhi? Au wamepanda mininga na mitundu mingapi kwenye hiyo misitu hadi waitwe wawekezaji?

Hivi tumefikia mahali pa kuwapa waarabu karibia kila rasilimali tulizozitolea jasho kwa miaka mingi, kwa lengo gani? Mtu yeyote ambaye hana uchumi ni mtu duni na automatically atakuwa mtumwa wa mwenye uchumi. Tunapowapa kila mlango wa uchumi waarabu, automatically tunatengeneza mazingira ya kuwafanya Watanganyika huko mbeleni kuwa watumwa wa waarabu ndani ya Taifa lao.

Jamani, tuwaache walio na tamaa za ajabu waendelee kushangilia na kufurahia hadaa wazifanyazo kwa Taifa, wao wakirushiwa hata dola laki 1, wapo tayari hata kuua matumaini ya vizazi vyote vijavyo, LAKINI walio na hekima ni lazima tuendelee kupaza sauti zetu na kusema kuwa huu uovu, kama umma wa watu wazalendo, tunasema HAPANA. Nchi inawahitaji wawekezaji wa ndani na nje, lakini wavunaji wa wa nje wa mazao ya uwekezaji wetu, tuseme, hapana. Tuongozwe na uzalendo na sio tamaa ya mapato binafsi.
kati ya vitu tunavyotakiwa kuwa makini navyo, hiki ni kimojawapo. ukiona mtu anaita ndugu zake wamiliki mashamba ya jumuiya ujue amehakikishiwa kwamba watamlinda, na pia kikinuka anapo pa kukimbilia na wamemhakikishia akikwapua mali watamtunzia huko kwao. Shindwa kabisa shetani kwa Jina la Yesu.
 
Miaka iliyopita, tukisikia wawekezaji, tunajua ni watu wenye mitaji na tekinolojia, wanakuja kujenga na kuendesha miradi yao waliyoijenga wenyewe.

Lakini, kwa sasa, ghafla maana ya uwekezaji imebadilika. Hao wawekezaji wa sasa, wanakuja wanachukua rasilimali za nchi ambazo tayari zimejengwa au kuendelezwa. Wanapewa, na kuanza kukusanya mapato. Hivi hawa ni wawekezaji au Wavunaji?

1) Marehemu Magufuli aliwakataa wawekezaji wa Kichina ambao wangejenga bandari mpya Bagamoyo, na ambayo wangeiendesha wenyewe. Tuliwakataa waliotaka kujenga bandari mpya. HALAFU? Kupitia mkataba wa IGA, mkataba wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Duniani, DPW wakapewa bandari mama ya Dar es Salaam ambayo tayari nchi imekwishawekeza zaidi ya dola bilioni 10, na mwushoni kabisa, kwa mkupuo nchi imewekeza dola bilioni 1. DPW tunaambiwa eti atawekeza dola nusu billion. Katika hali ta kawaida, tujiulize, hivi sisi tuna utimamu wa akili? Unamkataa anayekuja kuwekeza mradi mpya, halafu unamkubalia mvunaji!! Huu ni uporaji wa kitegauchumi cha Taifa. Waliowezesha uporaji huu, wanalitakia nini Taifa hili?

2) Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Arusha, tayari ulikwishajengwa, tayari ulikuwa unafanya kazi, sasa amepewa mwarabu!! Hivi aliyepewa huo uwanja ni mwekezaji au mvunaji? Kama ni mwekezaji kwa nini hakupewa eneo akajenge uwanja wa kwake?

3) Kuna makampuni mengine toka Uarabuni yamepewa mbuga za wanyama na hifadhi za misitu. Hivi hawa ni wawekezaji au wavunaji/waporaji? Kama ni wawekezaji, wameleta pundamilia, twiga, fisi na ngiri wangapi kwenye hizo hifadhi? Au wamepanda mininga na mitundu mingapi kwenye hiyo misitu hadi waitwe wawekezaji?

Hivi tumefikia mahali pa kuwapa waarabu karibia kila rasilimali tulizozitolea jasho kwa miaka mingi, kwa lengo gani? Mtu yeyote ambaye hana uchumi ni mtu duni na automatically atakuwa mtumwa wa mwenye uchumi. Tunapowapa kila mlango wa uchumi waarabu, automatically tunatengeneza mazingira ya kuwafanya Watanganyika huko mbeleni kuwa watumwa wa waarabu ndani ya Taifa lao.

Jamani, tuwaache walio na tamaa za ajabu waendelee kushangilia na kufurahia hadaa wazifanyazo kwa Taifa, wao wakirushiwa hata dola laki 1, wapo tayari hata kuua matumaini ya vizazi vyote vijavyo, LAKINI walio na hekima ni lazima tuendelee kupaza sauti zetu na kusema kuwa huu uovu, kama umma wa watu wazalendo, tunasema HAPANA. Nchi inawahitaji wawekezaji wa ndani na nje, lakini wavunaji wa wa nje wa mazao ya uwekezaji wetu, tuseme, hapana. Tuongozwe na uzalendo na sio tamaa ya mapato binafsi.
Arusha hakuna uwanja wa ndege wa kimataifa
 
Kwani hapo TPA wewe uko idara gani? Usiogope mabadiliko kwani ukiwa mchapa kazi wataķu take on board tu
Kutoka kutoa points ambazo pengine zingeweza kuleta mjadala mzuri mpaka kuhamia kwenye utani
Sihusiki na kazi yoyote TPA, maswali yangu yamekuja kutokana na kile mlichokua mnakiandika hapa
 
Miaka iliyopita, tukisikia wawekezaji, tunajua ni watu wenye mitaji na tekinolojia, wanakuja kujenga na kuendesha miradi yao waliyoijenga wenyewe.

Lakini, kwa sasa, ghafla maana ya uwekezaji imebadilika. Hao wawekezaji wa sasa, wanakuja wanachukua rasilimali za nchi ambazo tayari zimejengwa au kuendelezwa. Wanapewa, na kuanza kukusanya mapato. Hivi hawa ni wawekezaji au Wavunaji?

1) Marehemu Magufuli aliwakataa wawekezaji wa Kichina ambao wangejenga bandari mpya Bagamoyo, na ambayo wangeiendesha wenyewe. Tuliwakataa waliotaka kujenga bandari mpya. HALAFU? Kupitia mkataba wa IGA, mkataba wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Duniani, DPW wakapewa bandari mama ya Dar es Salaam ambayo tayari nchi imekwishawekeza zaidi ya dola bilioni 10, na mwushoni kabisa, kwa mkupuo nchi imewekeza dola bilioni 1. DPW tunaambiwa eti atawekeza dola nusu billion. Katika hali ta kawaida, tujiulize, hivi sisi tuna utimamu wa akili? Unamkataa anayekuja kuwekeza mradi mpya, halafu unamkubalia mvunaji!! Huu ni uporaji wa kitegauchumi cha Taifa. Waliowezesha uporaji huu, wanalitakia nini Taifa hili?

2) Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Arusha, tayari ulikwishajengwa, tayari ulikuwa unafanya kazi, sasa amepewa mwarabu!! Hivi aliyepewa huo uwanja ni mwekezaji au mvunaji? Kama ni mwekezaji kwa nini hakupewa eneo akajenge uwanja wa kwake?

3) Kuna makampuni mengine toka Uarabuni yamepewa mbuga za wanyama na hifadhi za misitu. Hivi hawa ni wawekezaji au wavunaji/waporaji? Kama ni wawekezaji, wameleta pundamilia, twiga, fisi na ngiri wangapi kwenye hizo hifadhi? Au wamepanda mininga na mitundu mingapi kwenye hiyo misitu hadi waitwe wawekezaji?

Hivi tumefikia mahali pa kuwapa waarabu karibia kila rasilimali tulizozitolea jasho kwa miaka mingi, kwa lengo gani? Mtu yeyote ambaye hana uchumi ni mtu duni na automatically atakuwa mtumwa wa mwenye uchumi. Tunapowapa kila mlango wa uchumi waarabu, automatically tunatengeneza mazingira ya kuwafanya Watanganyika huko mbeleni kuwa watumwa wa waarabu ndani ya Taifa lao.

Jamani, tuwaache walio na tamaa za ajabu waendelee kushangilia na kufurahia hadaa wazifanyazo kwa Taifa, wao wakirushiwa hata dola laki 1, wapo tayari hata kuua matumaini ya vizazi vyote vijavyo, LAKINI walio na hekima ni lazima tuendelee kupaza sauti zetu na kusema kuwa huu uovu, kama umma wa watu wazalendo, tunasema HAPANA. Nchi inawahitaji wawekezaji wa ndani na nje, lakini wavunaji wa wa nje wa mazao ya uwekezaji wetu, tuseme, hapana. Tuongozwe na uzalendo na sio tamaa ya mapato binafsi.
Tulaumu WASOMI wenye vyeti Kwanza Ila akiri Hamna kabisa, thinking yao iko low Sana, alafu ukute huyo mshauri ana MKE na watoto anaitwa Baba Bora au mama Bora HUKU akitaka watoto wao wapate baraka za Mungu, (mara nyingi wanapataga RAHANA ya ukoo).
Najiuliza aliyeahauri serikali kuamisha kituo cha mabasi ubungo kwa kuandika Sababu zenye mantiki alafu huyo huyo akaweza na kumkaribisha MCHINA awake EAST AFRICA COMMERCIAL AND LOGISTICS CENTRE pale pale ambapo miundo mbinu ilikuwepo Kwa 90%, na kusababisha tatizo kubwa zaidi hapo badae. Ama tuna tatizo tumewapa MAMLAKA mkubwa kisheria wanasiasa kupanga Maisha yetu au hatuwashirikishi watafiti WABOBEZ tunapotaka kupanga miji na biashara.ni mpumbavu pekee na darasa la Saba asiye na Chet anaweza kuishaurui serikali kumruhusu Mchina awake biashara yake pale inayotegemea kuwa na warehouse, shops kama 2000, maroli kuingia pale , MWENDO Kasi kuwa pale, reli kuwa eneo Hilo na road network kuwa pale alafu eti 33yrs ndo itakuwa Mali ya WATZ.. KUNA HAJA YA KIZAZI KINACHOSOMA SASA MASHULENI NA VYUONI KUWA NA STUDY TOUR nje ya nchi yao Kwa mwaka angalau 1, katika kipindi cha masomo Yao wajifinze mataifa mengine walivyo wabinafsi kutawaaliwa na Mgeni au Muwekezaji kuwa na nguvu kuliko mzawa..if u want a peace start a war..Karljang. tuna WASOMI wapuuzi na wasio focussed wanaoharib KIZAZI chao kwa ubinafsi na uchoyo uroho na roho za uchawi mioyoni kwao...Ila ukimuona anatembea utadhani ni mtu mwema. Aibu sana
 
Mna chuki tu na mwarabu,na hamumchukii mwarabu kwa uarabu wake,Bali dini yake,angelikua mkiristo Wala msingetokwa jasho la makalio kumpinga,pingeni na Airtel na nmb tuone
Hio Airtel unajua inamilikiwa na nani? Na hio nmb unajua inamilikiwa na nani? Unaweza kuweka dondoo kwa ndani na si kutuuliza sisi maswali unatukera... Weka info! Na sikujibu kwa jazba
 
Airtel ya mhindi,nmb serikali Ina hisa chini ya 32%,Kuna wazungu ndani ya nmb,pigeni kelele na huko
 
Nimekupata mkuu
Report ya CAG 2022, angalia humo uone bilioni 4 zilizvyopotea BOT kwa sababu tu waliziteketeza sababu ya uchakavu. CAG akagundua haikua sahihi, uliza sasa nani alikamatwa au kuwajibishwa
Tunahangaika na kilichopo kwenye sahani wakati sufuria zima bado limeshikiliwa na hao hao
 
Back
Top Bottom