Huu umilikishwaji wa vitega uchumi muhimu vya nchi kwa waarabu, ni uwekezaji au uvunaji?

Airtel ya mhindi,nmb serikali Ina hisa chini ya 32%,Kuna wazungu ndani ya nmb,pigeni kelele na huko

NMB, umiliki wake mkubwa ni wa Serikali na other local entities.

Cooperatieve Centrale Raiffeisen-Boerenleenbank B.A. wana 34.9%

Serikali 31.78%

NICOL Tanzania ina 6.61%

Other Private and Public entities wana 12.64%

Kwa hiyo, kwa ujumla, Serikali na taasisi zake na private entities wanamiliki zaidi ya 50%.

Suala siyo mzungu, mwarabu au mhindi, bali huyo anayesema ni mwekezaji, amewekeza nini? NMB, hisa zilinunuliwa kwa watu kutoa pesa. Mimi pia nilinunua hizo hisa. Na hiyo kamapuni ya wazungu ilitoa kiasi kikubwa cha pesa ili kuiongezea bank mtaji.

Sasa niambie, aliyepewa Ngorongori amewekeza nini pale? Alitoa pesa kiasi gani kwaajili ya kuongeza wanyama?

Aliyepewa misitu, alitoa pesa kiasi gani ili kuongeza idadi ya miti asilia?

Kwenye bandari, niambie DPW wanamiliki kiasi gani baada ya kutoa mtaji kiasi gani?
 
Private entities unajumlisha vipi na serikali?..hapo serikali haifikishi 50%, private entinty siyo lazima iwe local,hoja yangu mtoa mada kwa nini hapigii kelele na hizi public corporations ambazo zina mtaji wa serikali Kama anavyopigia kelele kwenye brt!?
 
Sijasema DP World ni matapeli. Tatizo kubwa lipo upande wetu. Kwa nini DPW hao hao kwenye nchi nyingine kuwe na mikataba mizuri ila kweti wawe na mkataba wa hovyo?

Wakati wa utawala wa Mwinyi, tuliwapa Waarabu mbuga yetu ya wanyama. Mpaka sasa ni zaidi ya miaka 30, ile mbuga ina nini cha pekee, zaidi ya kumnufaisha huyo mwarabu na familia yake, na labda mafisadi waliomsaidia kwenye huo uporaji.
Mkuu kacheki kwenye ripoti za DED wa Ngorongoro utakuta kuna mikataba ya CSR activities na maduhuri wanayolipa. Pia cheki na Wizara ya Utalii/ Idara ya wanyamapori uone wanapowinda wanalipa Tsh ngapi kwa Serikali.

Uwindaji wanyamapori ni taaluma inasomewa pale Mwika. Hawawindi ovyo bali wanawinda kufikia ile idadi ya wanyama walioruhusiwa
 
NMB, umiliki wake mkubwa ni wa Serikali na other local entities.

Cooperatieve Centrale Raiffeisen-Boerenleenbank B.A. wana 34.9%

Serikali 31.78%

NICOL Tanzania ina 6.61%

Other Private and Public entities wana 12.64%

Kwa hiyo, kwa ujumla, Serikali na taasisi zake na private entities wanamiliki zaidi ya 50%.

Suala siyo mzungu, mwarabu au mhindi, bali huyo anayesema ni mwekezaji, amewekeza nini? NMB, hisa zilinunuliwa kwa watu kutoa pesa. Mimi pia nilinunua hizo hisa. Na hiyo kamapuni ya wazungu ilitoa kiasi kikubwa cha pesa ili kuiongezea bank mtaji.

Sasa niambie, aliyepewa Ngorongori amewekeza nini pale? Alitoa pesa kiasi gani kwaajili ya kuongeza wanyama?

Aliyepewa misitu, alitoa pesa kiasi gani ili kuongeza idadi ya miti asilia?

Kwenye bandari, niambie DPW wanamiliki kiasi gani baada ya kutoa mtaji kiasi gani?
Bila hao wazungu unadhani NMB ingesimama namna hiyo ilivyosimama? Dada Zaipuna kawa CEO wa kwanza mwaka 2016/17 lakini NMB ilikuwa kwenye uongozi wa Waholanzi kuanzia iliponunuliwa miaka ya mwanzoni mwa 2000.

Usijifanye unaijua sana NMB kwa sababu ya hivyo visenti vyako. Ingekuwa chini ya wazalendo from time go sasa hivi ingekuwa inachechemea
 
Private entities unajumlisha vipi na serikali?..hapo serikali haifikishi 50%, private entinty siyo lazima iwe local,hoja yangu mtoa mada kwa nini hapigii kelele na hizi public corporations ambazo zina mtaji wa serikali Kama anavyopigia kelele kwenye brt!?
Mkuu huyu Bams amejawa na chuki tu na uongozi wa Samia asikusumbue
 
Sijasema DP World ni matapeli. Tatizo kubwa lipo upande wetu. Kwa nini DPW hao hao kwenye nchi nyingine kuwe na mikataba mizuri ila kweti wawe na mkataba wa hovyo?

Wakati wa utawala wa Mwinyi, tuliwapa Waarabu mbuga yetu ya wanyama. Mpaka sasa ni zaidi ya miaka 30, ile mbuga ina nini cha pekee, zaidi ya kumnufaisha huyo mwarabu na familia yake, na labda mafisadi waliomsaidia kwenye huo uporaji.
Kuna haja gani mikataba yote inayosainiwa na DPW ikafanana dunia nzima?. Mazingira ya kibiashara ni tofauti.

Adani kasaini mkataba wa kufanya biashara pale bandarini, umeshawahi kuiona copy yoyote ya huo mkataba?.

Unajua ni IGA ngapi zinazofanya kazi hivi sasa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?.
 
Mumekariri shortcomings za Djibouti tu na kukosa hiyo kandarasi ya USA. LAKINI hamusemi kuhusu hizo ports zingine ambazo zaidi ya 70 ambazo DP WORLD ana operate successfully all over the world. Very low argument from mediocre minds
Wee na wewe acha dharau. Wengine tunatoa maoni humu tuna weledi na uzoefu mkubwa. Hizo bandari 70 unajua masharti au ni nchi za aina gani. DPW ni biashara. Ukiwa na vigogo watawala waroho na vichwa panzi wa kusaini chochote wanachotaka the so called wawekezaji mradi wamepewa hela mnapigwa. Dubai kupewa kandarasi walimwaga hela hadi ikafika kwa kina kitenge, baba revo et al. Hao vigogo ndio usisema maana hadi speaker akawaita wenye akili na uzalendo wapumbavu.
 
Akili yako ni kisoda. Mimi naongea strategic issues wewe unaleta mambo ya akina Kitenge na sijui bana revo. Level yako ni Facebook siyo huku JF
 
Back
Top Bottom