Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Unakuta ndugu zako kabisa wa kuzaliwa nao, achilia mbali hao wa upande wa baba au mama mnakuwa hamna maelewano mazuri; kupeana fursa hakuna, wakati mwingine ata kujuliana hali mpaka mtafutane sana.
Ila ukitokea msiba sasa, ndio mnaanza kutafutana na kwenda kwa mbwembwe.
Kwa mtazamo wangu, undugu wa namna hii haufai; piga chini ujipambanie mwenyewe.
Ila ukitokea msiba sasa, ndio mnaanza kutafutana na kwenda kwa mbwembwe.
Kwa mtazamo wangu, undugu wa namna hii haufai; piga chini ujipambanie mwenyewe.