Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #41
Ata kujuliana salamu inakuwa ni shidaKuna mda...
Utafutaji wa maisha unatufanya tuwe mbali na ndugu zetu mkuu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata kujuliana salamu inakuwa ni shidaKuna mda...
Utafutaji wa maisha unatufanya tuwe mbali na ndugu zetu mkuu....
Cha Msingi Kuombe Dua sanaaInaumaaaaa nduguuu achatu nikikumbukaga hata hamu sina
Inasikitisha sanaCha Msingi Kuombe Dua sanaa
Imagine Mimi Na ndugu yetu wakike aliondoka home Tangu 2004 Mpaka leo Hatujui yuko wapi,Kapatwa na nn Na anafanya nn?
Tumeishasubiri Tuone kama atarudi lakini bado.
Wee usiniambie mpendwa!jirani zangu ndio ndugu zangu hadi nitakapo hama hilo eneo
Mkuu wee acha tuu..Ata kujuliana salamu inakuwa ni shida
kweli mimi ndo hua nipo ivo,,sijui kwaninWee usiniambie mpendwa!
Ndio Hivyo TunamuombeaInasikitisha sana
FactUnakuta ndugu zako kabisa wa kuzaliwa nao, achilia mbali hao wa upande wa baba au mama mnakuwa hamna maelewano mazuri; kupeana fursa hakuna, wakati mwingine ata kujuliana hali mpaka mtafutane sana.
Ila ukitokea msiba sasa, ndio mnaanza kutafutana na kwenda kwa mbwembwe.
Kwa mtazamo wangu, undugu wa namna hii haufai; piga chini ujipambanie mwenyewe.
Sasa kama wewe mwenyewe hujui kwanini unafiri itakuwajekweli mimi ndo hua nipo ivo,,sijui kwanin
ila nainjoiii sana kua ivi,, ujue hata baadhi ya ndugu watu wazima kabisa wanajiogopa,,Sasa kama wewe mwenyewe hujui kwanini unafiri itakuwaje
Mbona ulichokiandika sijakielewa mkuuNduguuu kila ukoo una haya mambo
Tumezaliwa wa2
Mama kafa 2012 tukaingia mahakaman kaka akataka kuleta umwamba mkubwa vyake hivi na vile tegeta mbwen anadai kwake m nkasote kmr na kibamba wewe
Nkamtengeneza mahakaman ikaamriwa achague mbwen ama tegeta akachagua mbwen nkapewa tegetaa
Akambiwa achague kmr ama kibamba akaenda kibamba nkachukua kmr baada ya hukumu hatukuwahi kuongea wala kuonana mpaka 2019 Baba kafa
Toka hapooo kila akiamka anauliza unaendeleaje hivi vitinbi vipoo
N family curse
Baba kafa aongei na wadogozake
Upande wamama kafa halkuna comm yoyote wenyewe kwa wenyewe na akoo wa3 tu changamoto
Sasa ukiizembea na watoto wenu wanakutana msiban mbele ya safari
Taguta kanisaa lakirohoo karribu waeleze wakuombeee na wewe piaa uikataeee
Hivi ujawahi onaa mzazi tena wameamua ku justify ati wakifwatana hawaelewan mpaka wakue nani kasema
.yaan
Mkianza lambada mapemaaa ndio wanabeba roho za ukooo kuwanadili shuhuli
Lazima wajiogope maana hawajui utawafqnya nini 🤣ila nainjoiii sana kua ivi,, ujue hata baadhi ya ndugu watu wazima kabisa wanajiogopa,,
hahahaha 😂,,ukishajua akili za nduguzo jiepushe tu,,kuepuka magomviLazima wajiogope maana hawajui utawafqnya nini 🤣
Uko poa lkn,,,nimekumiss sana kpnzhahahaha 😂,,ukishajua akili za nduguzo jiepushe tu,,kuepuka magomvi
niko poa kabsa,,vipi weye uhali gani mpendwaUko poa lkn,,,nimekumiss sana kpnz
Hofu kwako,niko njema kabisa yaan,nimefurahi kukuonaniko poa kabsa,,vipi weye uhali gani mpendwa
wacha nilale na hii kabla sijavurugiwa usiku wanguHofu kwako,niko njema kabisa yaan,nimefurahi kukuona
Kama vipi tulale kabisa kabla usiku wetu haujaharibiwa kpnzwacha nilale na hii kabla sijavurugiwa usiku wangu