Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Huo sio undugu, haina tofauti na kuwa na rafiki bakiMi naona ndo mzuri msiba ukiisha kila mtu akapambane na hali yake hiyo kukutana bila kitu cha maana ndo huleta mifarakano mibaya sana
Ndugu sio kufanana ni kufaanaHuo sio undugu, haina tofauti na kuwa na rafiki baki
Kuna wakati unajiuliza, mbona tunaishi kama digi digi?Unapenda kuishi mwenyewe bila ndugu, ingewezekana ungependa ubaki mwenyewe duniani
Nasahihisha, ungetamani wanaume wote ufe umiliki mademu wote
Au ungetamani, kusafiri uende kwenye ulimwengu wa wanawake uwamiliki utuache ndugu zako tunateseka na hii dunia. Acha hizo
Na hii inawasaidia wengi sana, ingawa wako wengine wanafungiana mageti.jirani zangu ndio ndugu zangu hadi nitakapo hama hilo eneo
Bado hujakuaUnakuta ndugu zako kabisa wa kuzaliwa nao, achilia mbali hao wa upande wa baba au mama mnakuwa hamna maelewano mazuri; kupeana fursa hakuna, wakati mwingine ata kujuliana hali mpaka mtafutane sana.
Ila ukitokea msiba sasa, ndio mnaanza kutafutana na kwenda kwa mbwembwe.
Kwa mtazamo wangu, undugu wa namna hii haufai; piga chini ujipambanie mwenyewe.
Uko sahihi, kuna wakati rafiki anakuwa bora kuliko nduguNdugu sio kufanana ni kufaana
Inasikitisha sana, ukiona amekupigia tu jua ni taarifa ya msibaKweli m mwenyewe hyo tabia naichukia mnoooo
ni kweli,ila sio jirani wa mtaa mzima,,hua napenda kutafuta wawili au watatu ambao hata chumvi naeza waomba,,ila ndugu nisiwe muongo sijawahi kuwaelewaNa hii inawasaidia wengi sana, ingawa wako wengine wanafungiana mageti.
Kwa hiyo ni sahihi tuwe tunatafutana kipindi cha msiba tu?Bado hujakua
Hili ni janga kwa wengiTena Ndugu Waliojipata usiombe
Nduguuu kila ukoo una haya mamboUnakuta ndugu zako kabisa wa kuzaliwa nao, achilia mbali hao wa upande wa baba au mama mnakuwa hamna maelewano mazuri; kupeana fursa hakuna, wakati mwingine ata kujuliana hali mpaka mtafutane sana.
Ila ukitokea msiba sasa, ndio mnaanza kutafutana na kwenda kwa mbwembwe.
Kwa mtazamo wangu, undugu wa namna hii haufai; piga chini ujipambanie mwenyewe.
Kabisaa,..au kakamatwa anatafuta wa kumdhamini polisiInasikitisha sana, ukiona amekupigia tu jua ni taarifa ya msiba
Nadhani hiki kizazi kinafuata historia kwenye biblia, kama yule aliyemuwahi ndugu yake ili apewa baraka na baba yakeni kweli,ila sio jirani wa mtaa mzima,,hua napenda kutafuta wawili au watatu ambao hata chumvi naeza waomba,,ila ndugu nisiwe muongo sijawahi kuwaelewa