Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Mikeka yenu imechanika mlimpa Ahly ashinde sasa mmevurugwa mnapayuka hovyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma vizuriSasa mbona huajaonyesha hadaa, uongo au utapeli wenyewe uliofanyika?
Mnauza hadi magari siku hiziNioneeshe shabiki wa MWIKO NYUMA FC asie na UKABWILI au MWENYE AKILI TIMAMU nikuoneshe MBUZI ANAETAGA MAYAI.
Andika vizuri.Mwaka 1993 wakati Simba ilipoingia fainali ya kombe la Mashudu Abiola kiongozi na mfadhili wa Simba wa wakati ule ndugu Azim Dewji aliwahadaa wanasimba kwa kutoa zawadi ya gari/daladala za Chai Maharage kwa kila mchezaji wa Simba endapo ingechukua ubingwa huku akijua kuwa hawana huo uwezo wa kubeba ubingwa.
Leo hii tena kutoka familia ile ile ya Dewji wamewahadaa wanasimba kuwa endapo watamtoa Mwarabu kwao atawapa 1bl huku akijua wazi hana timu yenye uwezo ya kumtoa Mwarabu.
Bado sijaelewa maana ya content hii. Kwamba ahadi hazihitajiki?Mwaka 1993 wakati Simba ilipoingia fainali ya kombe la Mashudu Abiola kiongozi na mfadhili wa Simba wa wakati ule ndugu Azim Dewji aliwahadaa wanasimba kwa kutoa zawadi ya gari/daladala za Chai Maharage kwa kila mchezaji wa Simba endapo ingechukua ubingwa huku akijua kuwa hawana huo uwezo wa kubeba ubingwa.
Leo hii tena kutoka familia ile ile ya Dewji wamewahadaa wanasimba kuwa endapo watamtoa Mwarabu kwao atawapa 1bl huku akijua wazi hana timu yenye uwezo ya kumtoa Mwarabu.
Mmegeuka. Mlisema watapigwa tano. Simba katolewa kwa goli la ugenini ila mnaongea kana kwamba kafungwa tano bila.