Huu uongo na utapeli wa familia ya Dewji itaisha lini kwa Wanasimba?

Mwaka 1993 wakati Simba ilipoingia fainali ya kombe la Mashudu Abiola kiongozi na mfadhili wa Simba wa wakati ule ndugu Azim Dewji aliwahadaa wanasimba kwa kutoa zawadi ya gari/daladala za Chai Maharage kwa kila mchezaji wa Simba endapo ingechukua ubingwa huku akijua kuwa hawana huo uwezo wa kubeba ubingwa.

Leo hii tena kutoka familia ile ile ya Dewji wamewahadaa wanasimba kuwa endapo watamtoa Mwarabu kwao atawapa 1bl huku akijua wazi hana timu yenye uwezo ya kumtoa Mwarabu.
Andika vizuri.
Kombe la Mashudu Abiola=Moshood Abiola
Haikuwa ahadi ya "Chai maharage.Aliyekudanganya kamnase makofi.
 
Mwaka 1993 wakati Simba ilipoingia fainali ya kombe la Mashudu Abiola kiongozi na mfadhili wa Simba wa wakati ule ndugu Azim Dewji aliwahadaa wanasimba kwa kutoa zawadi ya gari/daladala za Chai Maharage kwa kila mchezaji wa Simba endapo ingechukua ubingwa huku akijua kuwa hawana huo uwezo wa kubeba ubingwa.

Leo hii tena kutoka familia ile ile ya Dewji wamewahadaa wanasimba kuwa endapo watamtoa Mwarabu kwao atawapa 1bl huku akijua wazi hana timu yenye uwezo ya kumtoa Mwarabu.
Bado sijaelewa maana ya content hii. Kwamba ahadi hazihitajiki?
 
Back
Top Bottom