Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Mwaka 1993 wakati Simba ilipoingia fainali ya kombe la Mashudu Abiola kiongozi na mfadhili wa Simba wa wakati ule ndugu Azim Dewji aliwahadaa wanasimba kwa kutoa zawadi ya gari/daladala za Chai Maharage kwa kila mchezaji wa Simba endapo ingechukua ubingwa huku akijua kuwa hawana huo uwezo wa kubeba ubingwa.
Leo hii tena kutoka familia ile ile ya Dewji wamewahadaa wanasimba kuwa endapo watamtoa Mwarabu kwao atawapa 1bl huku akijua wazi hana timu yenye uwezo ya kumtoa Mwarabu.
Leo hii tena kutoka familia ile ile ya Dewji wamewahadaa wanasimba kuwa endapo watamtoa Mwarabu kwao atawapa 1bl huku akijua wazi hana timu yenye uwezo ya kumtoa Mwarabu.