Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,977
- 6,635
Kama swali linavyoulizwa jibu Ni kwa faida ya BLOGGERS!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama swali linavyoulizwa jibu Ni kwa faida ya BLOGGERS!
Ha ha haaaaaahawa wasanii wetu, wakipotea kwenye anga za wananchi, wana tafuta kiki za kishenzi sana... Na yeye anavyopenda sifa, si alikaa mbele..kwann asife
N H.R wa e bony fm iringa, jambo lingine maelezo ya polisi yametaja kuwa watu wanne ndo walinusurika na tunda akutajwa yeye alikuwa kwny noah na aliona iyo ajali wakaendelea n safari walipo fika mikumi polisi walipiga search ilo noah n kukuta begi la marehemu liliokuwa halionekan lilikuwa n camera mbili kwny noah aliopanda tundaHuyo aliyepost hiyo FB ni nani? Na alikuwa wapi wakati wa tukio? Maana millardayo.com ni moja ya reliable sources.
Arudishe vitu vya marehemu alivyoibaNop mambo ya kutoka mzima kabisa bila kovu haimaanishi au sio kigezo cha kutopata ajali
Uhakika tu tujuw