Huu uongo wa ajali ya Tundaman kwa faida ya nani?

Huu uongo wa ajali ya Tundaman kwa faida ya nani?

Muziki wa bongo duh harakati za kinnya kwel.
 
Ulofaa,,,,,aombe radhi kwa kupotosha umma
 
hawa wasanii wetu, wakipotea kwenye anga za wananchi, wana tafuta kiki za kishenzi sana... Na yeye anavyopenda sifa, si alikaa mbele..kwann asife
 
Clouds kipindi cha XXL wamemhoji kamanda wa polisi Iringa amesema kwenye gari kulikuwa na watu wanne mmoja alifariki Katunzi na watatu majeruhi na amewataja wote majina na hakuna jina la Tundaman, Tundaman akihojiwa hapo awali alidai kwenye gari walikuwa watano.
 
Huyo aliyepost hiyo FB ni nani? Na alikuwa wapi wakati wa tukio? Maana millardayo.com ni moja ya reliable sources.
N H.R wa e bony fm iringa, jambo lingine maelezo ya polisi yametaja kuwa watu wanne ndo walinusurika na tunda akutajwa yeye alikuwa kwny noah na aliona iyo ajali wakaendelea n safari walipo fika mikumi polisi walipiga search ilo noah n kukuta begi la marehemu liliokuwa halionekan lilikuwa n camera mbili kwny noah aliopanda tunda
 
Nop mambo ya kutoka mzima kabisa bila kovu haimaanishi au sio kigezo cha kutopata ajali

Uhakika tu tujuw
 
Back
Top Bottom