Huu upatu wa MTFE ni fursa kweli au mimi ndio naenda kugeuzwa fursa?

Duh.... kurareki!!
 
Naomba kuuliza je ni wote waliowekeza hela wamepigwa au kuna waliofanikiwa kuwithdraw? Kuna mshikaji wangu aliwekeza anasema yeye jana alifanikiwa kuwithdraw hajapigwa et baadhi ndio wamepigwa. Nimehisi anaficha nisimuone kalizwa
Kapigwa huyo, hakuna aliyefanikiwa kuwithdtaw na mbaya zaidi wamechukua kila senti mpaka akaunti zinasoma -ve yaani wanatudai!
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…