Huu upepo wanaJF wa kurudisha watoto kayumba kutoka EM wala sio maamuzi binafsi ni basi tu ukata umekuwa mkali

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Ndugu we sema hali yako ni ngumu kwa sasa.

Acha mambo ya kupigisha watu stori kwa kutunisha misuri ya typing fingers kuwa wanaosomesha em na international schools eti wana poteza muda.

Hata sisi tunapigika na "njaa-nuary" hii ila hauwezi kuta tunageuza wali kuwa ugali humu.

Sawa, Ngoja tusubirie wajukuu wa bakhresa waje mikorochini praimari
 
Wazazi wengi wakishapiga hesabu ya kwamba anamsomesha mtoto kwa gharama alafu mwishowe anakosa ajira na status yake inakuwa sawa na aliyesoma Kayumba ndo huchukua maamuzi ya kuwapeleka watoto wao Kayumba.
100% Fact. Mtoa Mada ameshindwa kufikiria kuhusu hili.

Kusomesha EM Sio kipimo cha utajiri
 
Wajukuu wa Bakhresa hawasomi English Medium, wanasoma International School of Tanganyika. Halafu wakimaliza hawaendi kulilia boom pale Mlimani au SAUT wanaenda kwenye vyuo bora duniani na icing on the cake wakimaliza hawatafuti ajira.

Acha kabisa kujilinganisha na jina Bakhresa na watu kama hao.
 

Wajukuu wa bakhresa hawasomi mtaala wa necta, chuo hawasomi udsm na hawaombi ajira za utumishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…