Wewe hujawahi soma shule ya kishua advance nilisoma shule ya kishua kila mtu anamvimbia mwenzakeKina nani wataje majina. Waliosoma international schools ndio hawa kina Benjamin Fernandez.
Mbona inawezekana waliosoma shule za kawaida kupeana connection, kuna ugumu gani waliosoma EM na IS kupeana connection. Sasa wanajuana kupitia wapi kama sio shule na vyuo, yani hawa waitane kwenye ubodaboda na kupaka kucha rangi ila wale washindwe kuitana kwenye partnership?
Upo sawa kabisa ila kwenye CONNECTION mkuu usidharau kabisaaa. Kuna tofauti kubwa sana kati ya circle ya st kayumba na international schools..Kiuhalisia hakuna CONNECTION yoyote atapata wewe kama huna hela usijisumbue kujitutumua misuli bure. Watu wakimaliza shule kila mtu anaelekea ustaarabu wake mwanao atabaki anasimulia tu nilisoma na fulani😀😀😀
Wekeza katika ujuzi, mtoto aende VETA kwenye hizi likizo za kumaliza darasa la saba,form 4,form 6 akachukue ujuzi( kulingana mfumo wetu wa maisha huu muda wa kusubir matokeo sio muda wa kupoteza muda na mapreform 1,5 au unakuta mwanafunzi mhitimu wa form 6 yupo tu mtaani anizurura badala ya kwenda VETA kuchukua ujuzi huu muda huwa ni LULU na ukiupoteza ndo imeisha hiyo).
Dunia ya leo ni ya watu wenye ujuzi.Kwenda nje ya nchi ni swala la maamuzi tu hakutegemei na kwamba ulisoma Feza au st. Kayumba.
Waandalie watoto urithi kwa kuwanunulia viwanja na mashamba ya miti ya mbao na matunda.Wanunulie watoto HISA na BONDS katika makampuni mbalimbali huu ndo utajiri wa kurithishana kutoka kizazi kimoja kwenda kingine.Na sio kupoteza rasilimali kisha kuja kuomba ajira za serikali.
Mtaendelea kuona wahindi na waarabu kama magenius ila hawa watu ni wa kawaida tu sema wanafikra tofauti kuhusu mali na utajiri.
Nawewe tafuta kayumba aliyerithi akaendeleza level kama za Mo Dewji.Mo Dewji karithishwa yeye kaanzia alipoishia mzee wake(nilisema from the scratch). Nitajie aliyesoma IST na kafanya makubwa hao waliopo nje ya nchi wengi wao wana ndugu zao huko.
Bro wake the f*ck up!!!! bongo hakuna kampuni ya maana bila wapiga dili wote hao makanji na hawa waarabu ukoko wanategemea TENDA ZA SERIKALI na magendo.Upo sawa kabisa ila kwenye CONNECTION mkuu usidharau kabisaaa. Kuna tofauti kubwa sana kati ya circle ya st kayumba na international schools..
Sisi wengine story ni za mama yupo kijijini, baba anahitaji pesa ya kulimia mashamba ila ukikaa na wa international schools, story za vacation na kufungua makampuni au kuingia multinationals ndio kawaida
Vyote ulivyosema ni muhimu sana ila usimnyime mtoto EXPOSURE
Nilisoma shule ya vipaji na nimeishi na hao wa kishua waliofaulu O level za private. Combination yangu ilikuwa na watu almost 50, kati yao 22 ni private schools, seminarists wengi, na 9 tu kutoka Kayumba.Wewe hujawahi soma shule ya kishua advance nilisoma shule ya kishua kila mtu anamvimbia mwenzake
Msimamo wao unatakiwa uwe waziwazi kwamba unatakiwa uwe unamudu kusomesha EM ndio uende.Mimi nilivyoelewa Hawa wanaowatoa watoto wao EM wanasema kama kipato chako hakikidhi usijitutumue kumsomesha mtoto EM Mimi sijaona aliyesema kusomesha watoto huko ni kupoteza muda....ikiwa mtu kipato kinaruhusu kwanini mtoto asisome shule nzuri
Wewe unashida hivi unajua familia ya Benja imewekeza kiasi gani kwenye huo ugunduzi wa NALA na connection hajatoa huko international dogo alianza kujidraft yeye akipewa support na familia yake.Kina nani wataje majina. Waliosoma international schools ndio hawa kina Benjamin Fernandez.
Mbona inawezekana waliosoma shule za kawaida kupeana connection, kuna ugumu gani waliosoma EM na IS kupeana connection. Sasa wanajuana kupitia wapi kama sio shule na vyuo, yani hawa waitane kwenye ubodaboda na kupaka kucha rangi ila wale washindwe kuitana kwenye partnership?
UBORA KWENYE KUIBA MITIHANI NA KUWASOLVIA WATOTO WAKAPIGA 98 DARASA ZIMA AU UBORA UPI UNAOUONGELEA. AU LABDA UNAZUMGUMZIA HIZO BROCKEN ENGLISH WANAZONGUMZA BASI MNAONA MMEWINI MAISHA🤗Zamani shiule za serikali ndio zilikuwa bora zaidi na waliofeli ndio walikimbilia private schools. Huwezi fananisha shule za kata na shule za wamisionari waliosoma kina Benjamin Mkapa kwa sababu utajidanganya tu mkuu
Kwa sasa ipo wazi, shule binafsi ni bora kuliko government. Haina mjadala, vingine ni kujifariji
EM si international school kusema zitakupa maajabu yoyote. Watu wanawapeleka watoto English Medium kuwarahisishia tu maisha na kimsingi ilipaswa ndiyo iwe standard ya shule hata za serikali na serikali inalijua hilo ndiyo maana shule kama Olympio ni kama vile shule private za EM.tuliosoma english medium sijui tutaweka wapi sura zetu tusipokuwa matajiri madiaspora
Baada ya kuona tu neno makalio ukasisimkwa...Kaka bolotoba unaupiga mwingi
Ada ya pale mlalahoi haimudu.Labda kama mzazi wake ni kiongozi serikalini au ana kampuni kubwa yenye kipato kinachoeleweka.
Inaonekana umepoteza plot ya haya majadiliano.Nabishana na maskini ukute hata hiyo IST hujui inapatikana wapi. Mmejaa na kujazana ujinga eti unapata connection.
Hivi wewe tukuweke katikati ya watoto wa kihindi na kiarabu tofauti na kijifunza kula kachori.Wewe mtoto wa MBANGAIZAJI ni connection gani utapewa na hao watu.
Gentleman kaa ukijua wenzako hao wa kihindi na kiarabu na baadhi ya watoto wa mawaziri,balozi na wafanyabiashara wale international( wakubwa akina MO,BAKRESA) achana na hawa wachuuzi.Ndo wapo huko IST ,wewe pangu pakavu ni bora ujikite kuondoa umaskini wa UKOO kuliko kuanza kuzungumzia ndoto.Maana wenye kusoma IST hata JAMII FORUM hawaijui.
Sitaki yawakute wale watoto, nataka ticha akisema anaelewa kila kituPole
Wewe hamna kitu bwana wewe kwanza umesoma wapi wewe ni MBANGAIZAJI tu. Acha kelele wewe nimekushauri kabla ya kuwaza mambo makubwa kukuzidi anza kwanza kutengeneza kitu kinaitwa GENERATIONAL WEALTH.Inaonekana umepoteza plot ya haya majadiliano.
Mosi, hakuna sehemu nilikozungumzia 'connections'. Hilo umelisema wewe, na umesema hivyo kwa kuwa mfumo uliosomea ndiyo umekudumaza kuamini kuwa huwezi kufika juu bila kuwa connected!
Nanyoosha maelezo yangu kwa kukwambia kuwa, kuna baadhi ya shule ukisoma huwezi kubangaiza.
Kwanza zitakusaidia kujitambua nguvu na vipawa vyako. Pia, utasoma katika mazingira ambayo utaiva vilivyo katika kile unachokisomea. Usisahau kuwa watoto hawa husoma kozi zenye soko ktk upande wa kuajiriwa na kujiajiri. Hawachagui kozi ili wapate 100% za HESLB.
Mhitimu huyu hawezi kubangaiza kama mtoto anayefundishwa na mwalimu aliyepata div IV.
MWISHO.
Nakubali kuwa mimi ni masikini, lakini kubali wewe ni mshamba.
Kwa zama hizi za teknolojia hata mtu aliye Namabengo kule Ruvuma anaweza kuitafuta IST akaiona sawa na wewe unayepita kwa nje ukiwa unaenda kuoga Coco Beach!
Lakini huwezi kuyajua haya kwa sababu umesoma kwenye hizo shule zenu za kuungaunga.
-Unapoandika, jitahidi kuweka aya ili maandishi yako yasomeke.Wewe hamna kitu bwana wewe kwanza umesoma wapi wewe ni MBANGAIZAJI tu. Acha kelele wewe nimekushauri kabla ya kuwaza mambo makubwa kukuzidi anza kwanza kutengeneza kitu kinaitwa GENERATIONAL WEALTH acha kuwaza kama mtoto wa MO maana mwenzako yeye anaenda kurithi utajiri wa babu yake wa 3 ambao unakuwa kila kizazi sasa we mwenzangu na mimi uko huko Mwanarumango na wewe unawaza uje utoboe huku huna chambi huna hata biashara ambayo tunasema ok umeshamaliza huko IST na ukaenda chuo ukamaliza umerudi sasa uiendeleze kisha ufungue mpya wewe MBANGAIZAJI ndo unataka uje uanze from the cratch 😀😀😀😀gentleman wake up, kumekucha!!!!
EMs zote zinazo tumia mtaala uchwara wa NECTA ni kayumba iliyo changamka tu,sema EM ni mabingwa kwenye kukalilisha basi tofauti na hapo hakuna jipya.Msimamo wao unatakiwa uwe waziwazi kwamba unatakiwa uwe unamudu kusomesha EM ndio uende.
Sio hizi hoja uchwara kwamba umnunulie mwanao sijui kiwanja sijui shamba la parachichi badala ya kumsomesha EM. Waseme tu hawana hela. Waache mikwara na sizitaki mbichi hizi.