Huu upepo wanaJF wa kurudisha watoto kayumba kutoka EM wala sio maamuzi binafsi ni basi tu ukata umekuwa mkali

Uliwahi ona kibaka aliyesoma Marian Boys'?
 
Kwa kweli shule em sasa wazazi naona wanaziacha na kurudi st.Kayumba daah ni hatari
 
100% Fact
 
Matapeli wapo
Lakini sio vibaka. Utapeli hata international arena upo, tena wanaotapeliwa hasa ni hao mbumbumbu waliosoma kayumba wakala zero na four ya mwisho hawajui kusoma hata terms za contracts, lugha chenga.

Ni mwanao tu ndio atasoma na vibaka uko kayumba, ila mtu aliyesoma Ahmes au St. Mary Eugene hawezi soma na kibaka au mkwidaji. Akisoma na watu wabaya basi ni fraudster, mkwepa kodi, mtakatishaji fedha au fisadi.

Mtu asome Ahmes alafu akamatwe kwa kesi ya wizi wa TV ya Alitop 32 inches? Ulisikia wapi.
 
EMS =KAYUMBA mana wote wanatumia mtaala wa necta ya bongo land International school hiz ndio shule ila Inatakiwa uwe na nguvu ya pesa sana lasivyo wew na mtoto wako mtakua maskini wa milele mpaka uzeen
 
Kama huna kipato kikubwa usijitutumue kusomesha em.Hizi shule za em hazimsaidii mtoto wa maskini kujifunza kupambana na mazingira yake.

Mtoto anasoma kama tajiri lakini akirudi mtaani anatakiwa kupambana kama maskini.Hii inawapa shida sana watoto ndio maana wengi wanageuka kuwa malaya na mashoga wakijiuza mitandaoni kwa wazungu
 

Unajua uchumi aliokuwa nao baba yake benjamin fernandez?

Familia ya kina fernandez ni ya kishua kitambo. Miaka ya 90 tayari kwao wana pesa za kumwaga. Kakulia kwenye Bonge la jumba mbezi beach

Baba yake amemiliki kampuni ya vingamuzi vya ting, wana kumbi za harusi. Na sadaka wamekula sana kwenye kanisa lao kubwa.

Benjamin fernandez hatoki familia ya kuunga unga. Hajawai kusoma shule za necta kabisa


Sasa wewe unayetoka familia ya kutegemea mshahara wa kuajiriwa unaanzia wapi kujilinganisha na benjamin wa nala

Hela amezikuta kwao. Amesomeshwa heaven of peace na chuo marekani sio kwa ajili ya kugombania ajira za utumishi.

Kabla hujampeleka mwanao shule za gharama..tafuta utajiri kwanza wa mwanao aje kuuendeleza
 
Wanaoongoza kujiuza ni Hawa waliosoma shule za serikali.fanya utafiti sehemu wanazojiuza Malaya Nchi nzima.EM ni muhimi maana kiingereza hakikwepeki Kwa mtu mchakalikaji.
 
-Unapoandika, jitahidi kuweka aya ili maandishi yako yasomeke.

-Panaitwa Maneromango, siyo Mwanarumango.

-Naomba nipumzike, jinsi unavyoandika ni kama mtu aliyepagawa na pepo. Unaweka mizuka badala ya hoja. Mara connections, mara MO!
Mbona umesoma wewe bladifaken wahed,aya aya nyie wasomi uchwara bwana๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Katafute kazi acha kuwazo ndoto za mchana wewe mvulana.Tafuta kazi saivi ni interview tu kwa kwenda mbele hakuna connection za kijingajinga.Sasa hapo ndo utajua wasaili wanataka utirio au wanataka kingeraza chenu broken.
 
Mtoto wangu atasoma shule bora inayoendana na mfuko wangu kwa wakati huo.

Siwezi kumpeleka kayumba eti kisa LIKUD wa JF kasema.

Kila mtu aishi maisha yake.
 
Ni nani kasoma International School ambaye kwao hawana uchumi?

Niliyem-quote kasema kuna waliosoma IST na bado wanabangaiza. Basi ungana naye mtaje mtu ambaye kasoma IST au International School na sasa anabangaiza.

Yani mtoto alipiwe ada 20M+ kwa mwaka shule ya msingi alafu utarajie atabangaiza akimaliza chuo?

Ndio mkiwa mnakunywa wanzuki na kuhonga malaya badala ya kulipia quality education kwa watoto wenu mnajifariji hivyo vilabuni?
 
Wanaoongoza kujiuza ni Hawa waliosoma shule za serikali.fanya utafiti sehemu wanazojiuza Malaya Nchi nzima.EM ni muhimi maana kiingereza hakikwepeki Kwa mtu mchakalikaji.
Wanaoongoza kuwa na maziwa yaliyolala ni hawa wanaodandiwa na bodaboda na vinyozi wa saluni kwa kuhongwa chips kuku.

Ukienda Bonyokwa sec ukachukua wasichana wa Form 3, ukalinganisha na wale wa St. naninani yeyote ile utaona wengi nani saa sita na nani ndala mapema kabisa kabla hata ya kufika 18 years old.
 
Hivi unafikiri hao decision makers wengi wao walisoma English Medium au International Schools? Angalia historia ya viongozi wengi wa serikali wengi wao wamesomea vijijini.
Cha ajabu watoto wa hao viongozi uliowataja hawasomi kayumba ulishawahi jiuliza hilo swali
 
Mwanaume hutakiwi uogope changamato au vitu vigumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ