T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Uliwahi ona kibaka aliyesoma Marian Boys'?EMs zote zinazo tumia mtaala uchwara wa NECTA ni kayumba iliyo changamka tu,sema EM ni mabingwa kwenye kukalilisha basi tofauti na hapo hakuna jipya.
Mtu anaye weza kujitapa kuwa anampatia elimu bora mtoto wake elimu bora ni yule aliye mpeleka mtoto wake international School.