Huu upepo wanaJF wa kurudisha watoto kayumba kutoka EM wala sio maamuzi binafsi ni basi tu ukata umekuwa mkali

Huu upepo wanaJF wa kurudisha watoto kayumba kutoka EM wala sio maamuzi binafsi ni basi tu ukata umekuwa mkali

Hivi kwanini January iwe ngumu wakati kila mwaka inajirudia?
Huwa sielewi kabisa hili
Una miezi 10 ya kuwaza Dec/Jan sasa mnakwama wapi?
Kwa wengine January ni mwezi kama miezi mingine tu
Ila kila mmoja anavyojiweka tu
 
St Kayumba ilikuwa enzi hizo za 1990's na mwanzoni mwa 2000's, sasa hivi shule bora za kuandaa maisha bora ya baadaye ya mtoto ni English medium na International schools.
International School ndo ina muhakikishia mtoto elimu bora na sio hizi Em shule yeyote inayo fuata mtaala wa NECTA ni utopolo kama kayumba tu haijalishi ina charge ada kiasi gani.
 
Kwanza ulielewa dhumuni la comment yangu au umekurupuka tu kujibu?

Kwanini mnaziita Kayumba?? shida ni Nini mpaka mkaamua kuziita Hilo jina?

Kingine, vipi nikikwambia kwamba Mmoja ya wafamasia WA kutumiwa nchi hii amesoma hizo hizo shule unazozidharau na hata wafamasia wenzake waliosoma international schools wanampa salute??

Eti ningesoma English medium ningekuwa zaidi ya hapa nilipo, fikra zako duni sana....!! Nina Wana KIBAO tu wamesoma English mediums elimu Yao yote ya msingi, ila leo nikikutana nao wananiomba hadi nauli ya daladala.
Ukiona mtu anabisha vitu vilivyowazi huyo hana ajuacho kuhusu hizi shule za kukaririsha watoto maswali na namna ya kujibu mitihani, paper likibadilishwa tu wanapoteana😄😄😄

Hizi EM nyingi ni wezi wa mitihani wengine wanenda mbali wanasolve mtihani na kuwapa watoto majibu ni kujaza tu😄😄darasa zima wamelamba 98 na bado watu hawashtuki🤗.Nyie vilaza mnaozitetea hizi EM kaeni na data sio mnakuja kutetea ujinga ujinga hakuna elimu huko EM zaidi ya biashara ya elimu!!!

Wengi wa hao vilaza waliosaidiwa mitihani huwa wakifika form 4 wazazi wao huwa WAMECHOKA KIUCHUMI(WAKO HOI BIN TAABANI/APECHE ALOLO😁) au AKILI ZIMEANZA KUJA na kujua wanapoteza hela kwa elimu isiyo na tija katika dunia ya leo 5$6 huwa wanawapeleka st. Kayumba hapo ndo huwa MASHUDU YA EM yanaanzaga kujitenga na akili za kuzaliwa zitaonekana tu😄😄😄🤗

#kupanga ni kuchagua!!!
 
Halafu wakija huku wanajidai wanatoa ushauri,

Nani anasikiliza walioshindwa? Heri waongee ambao hawakupeleka kabisa watoto EM toka awali!

Ushindwe beer,urudi kwenye mataputapu halafu utuambie beer ni kupoteza hela!!! Kulewa ni kulewa tu!!!
🤣🤣🤣🤣🤣

Imebidi nicheke tu Kwa sababu huo mfano wako wala hata hauendani na hoja ya maelfu ya watanzania wanaotoa watoto wao shule za EMs kuwarudisha Kayumba.

Wameshindwa kuendelea kuwa mafala ndio maana wamewatoa wao kwenye shule za EM ambazo waalimu wake kiingereza Sio lugha Yao.
 
International School ndo ina muhakikishia mtoto elimu bora na sio hizi Em shule yeyote inayo fuata mtaala wa NECTA ni utopolo kama kayumba tu haijalishi ina charge ada kiasi gani.
100% Fact
 
International School ndo ina muhakikishia mtoto elimu bora na sio hizi Em shule yeyote inayo fuata mtaala wa NECTA ni utopolo kama kayumba tu haijalishi ina charge ada kiasi gani.
100% Fact
Ukiona mtu anabisha vitu vilivyowazi huyo hana ajuacho kuhusu hizi shule za kukaririsha watoto maswali na namna ya kujibu mitihani, paper likibadilishwa tu wanapoteana😄😄😄

Hizi EM nyingi ni wezi wa mitihani wengine wanenda mbali wanasolve mtihani na kuwapa watoto majibu ni kujiza tu.Nyie vilaza mnaozitetea hizi EM kaeni na data sio mnakuja kutetea ujinga ujinga hakuna elimu huko EM zaidi ya biashara ya elimu!!!
100% Fact
 
Wanatumia mpaka mtaala wa NECTA
View attachment 3204534
Kumbe wanatumia mpaka mtaala wa Cambridge basi hiyo huwezi kuifananisha EM hata robo ,hiyo ni international School.
Shule yeyote inayo tumia mtaala wa NECTA basi hiyo ni kayumba iliyo changamka maana mwisho wa kuhitimu ,wahitimu wake hawatakuwa na tofauti na waliotoka kayumba kwenye soko la ajira.
 
Mimi kuna mmoja namjua, amesoma UWCEA.

Hana mishe ya maana, kinachomsaidia sana ni hela za nyumbani kwao.

Ila haiondoi ukweli kwamba intl schools ni nzuri.
 
huwezi kufaham mtoa mada ameshafanya uchunguzi viongozi wote wa nchi na mabolozi wamepitia huko EM ndo maana anajaribu kutukumbusha...kwa tathmin aliyoifanya amegundua ukimsomesha mtoto EM kutoboa maisha ni kama kumsukuma mlevi..ila kama analenga matumizi ya pesa tu na kujitofautisha na waviwango vya chini hapo katumia matako kufikiri kuliko kichwa.
100% Fact
 
Mimi kuna mmoja namjua, amesoma UWCEA.

Hana mishe ya maana, kinachomsaidia sana ni hela za nyumbani kwao.

Ila haiondoi ukweli kwamba intl schools ni nzuri.
Wakishua wengi hata waliosoma abroad bila kuwa na channel wapo kwa wazazi wao wanakula kulala chambi za wazazi wao ndo zinawatofautisha na wale wahitimu degree na diploma holders MAWINGA wa soko la Karume na KariaKoo.

Hii dunia kila hatua inahitaji mipango kama unajiendea tu kama ng'ombe au unafanya kitu upate sifa mtaani lazima ulost mapema sana.

#kupanga ni kuchagua!!!
 
Ukiona mtu anabisha vitu vilivyowazi huyo hana ajuacho kuhusu hizi shule za kukaririsha watoto maswali na namna ya kujibu mitihani, paper likibadilishwa tu wanapoteana😄😄😄

Hizi EM nyingi ni wezi wa mitihani wengine wanenda mbali wanasolve mtihani na kuwapa watoto majibu ni kujaza tu😄😄darasa zima wamelamba 98 na bado watu hawashtuki🤗.Nyie vilaza mnaozitetea hizi EM kaeni na data sio mnakuja kutetea ujinga ujinga hakuna elimu huko EM zaidi ya biashara ya elimu!!!

Wengi wa hao vilaza waliosaidiwa mitihani huwa wakifika form 4 wazazi wao huwa WAMECHOKA KIUCHUMI(WAKO HOI BIN TAABANI/APECHE ALOLO😁) au AKILI ZIMEANZA KUJA na kujua wanapoteza hela kwa elimu isiyo na tija katika dunia ya leo 5$6 huwa wanawapeleka st. Kayumba hapo ndo huwa MASHUDU YA EM yanaanzaga kujitenga na akili za kuzaliwa zitaonekana tu😄😄😄🤗

#kupanga ni kuchagua!!!
Kiukweli Mimi katika maisha yangu sijawahi kuskia shule ya serikali imefutiwa matokeo sababu ya udanganyifu WA mitihani, lakini hizi shule wanazogharamikia mamilioni sikumbuki kama Kuna mwaka ambao sikuwahi kuskia shule Moja wapo imefutiwa matokeo sababu ya wizi WA mitihani.

Mpaka nikaanzaga kuamini yawezekana kule wazazi wanalipa gharama kubwa sababu ya uhakika WA kufaulu hata Kwa njia ya wizi WA mitihani...!!

Ilifika stage kila nikiskia shule fulani wamefaulu wote naamini ni Kwa sababu wameiba mitihani Sema hawajamatwa.
 
Kumbe wanatumia mpaka mtaala wa Cambridge basi hiyo huwezi kuifananisha EM hata robo ,hiyo ni international School.
Shule yeyote inayo tumia mtaala wa NECTA basi hiyo ni kayumba iliyo changamka maana mwisho wa kuhitimu ,wahitimu wake hawatakuwa na tofauti na waliotoka kayumba kwenye soko la ajira.
Kuna FEZA international School inayotumia mtaala wa Cambridge na Feza Secondary/ High School ya wavulana pekee na wasichana pekee wanaotumia mtaala wa NECTA ni campus mbili tofauti na walimu tofauti na hata supporting staff tofauti kwa nini useme ni international school wakati ina hadi namba ya usajili ya NECTA ?
 
Tuulize saint kayumba tunavyoteseka, ukiingia interview room kiingereza kinabaki njee kikikusubiria hadi utoke, wakati huo ushakosa opportunity [emoji16]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Kilikua kina kusubiri utoke, kinaona aibu au
 
Kiukweli Mimi katika maisha yangu sijawahi kuskia shule ya serikali imefutiwa matokeo sababu ya udanganyifu WA mitihani, lakini hizi shule wanazogharamikia mamilioni sikumbuki kama Kuna mwaka ambao sikuwahi kuskia shule Moja wapo imefutiwa matokeo sababu ya wizi WA mitihani.

Mpaka nikaanzaga kuamini yawezekana kule wazazi wanalipa gharama kubwa sababu ya uhakika WA kufaulu hata Kwa njia ya wizi WA mitihani...!!

Ilifika stage kila nikiskia shule fulani wamefaulu wote naamini ni Kwa sababu wameiba mitihani Sema hawajamatwa.
Amini upo sahihi na hayo mashule yanamilikiwa na wafanyabiashara wakubwa,wabunge na viongozi wakubwa hizo ni money schemes za kuvuna pesa za MIDDLE INCOME CLASS ya wajinga wa hapa nchini.

Atleast uniambie mtoto unampeleka shule za international wanazosoma mtaala wa huko duniani hapo angalau ila hata hapo pia inabidi uandae mazingira na vyuo akasome top cream ya dunia. Hapo ndo tunakubaliana watu wote wenye akili timamu kuwa wewe umewekeza kwenye ELIMU BORA na ndivyo akina MO na watoto wa Bakresa ambao wanakuja kuendeleza makampuni ambayo ni international wanavyofanya kwa watoto wao.

Ila hizi EM ambazo zinafanya NECTA ni takataka kabisa.Zipo kuibia hawa MIDDLE INCOME wasio na good financial education plus exposure.

#KUPANGA NI KUCHAGUA!!!
 
Watoto wanatoka IST kisha wanapelekwa IVY League Universities😀 halafu mtu anajitolea mfano huko...Ni huzuni
Wajukuu wa Bakhresa hawasomi English Medium, wanasoma International School of Tanganyika. Halafu wakimaliza hawaendi kulilia boom pale Mlimani au SAUT wanaenda kwenye vyuo bora duniani na icing on the cake wakimaliza hawatafuti ajira.

Acha kabisa kujilinganisha na jina Bakhresa na watu kama hao.
 
Back
Top Bottom