Huu upepo wanaJF wa kurudisha watoto kayumba kutoka EM wala sio maamuzi binafsi ni basi tu ukata umekuwa mkali

Huu upepo wanaJF wa kurudisha watoto kayumba kutoka EM wala sio maamuzi binafsi ni basi tu ukata umekuwa mkali

Huyu LIKUD anapotosha sana watu.Na Kuna watu kweli watajifariji Kwa shule za serikali.
Huyu jamaaa anatengeneza trend ya watu kufata uamuzi wake ili sijui ajifariji au nini ? Anajua mwenyewe

Ila nitamshangaa mtu atakayetoa mtoto wake EM na Intl school kwa sababu za kizembe kizembe
 
Uliwahi ona kibaka aliyesoma Marian Boys'?
Nimewahi kuona jamaa aliosoma hiyo Marian akiingia kwenye uraibu wa matumizi ya dawa za kulevya na hatimae kupoteza maisha...!

Na pia nimewahi kuwaona mabinti chuo waliotoka St.Francis girls(shule ambayo ni level sawa na hiyo Marian) wakidanga huko Dodoma.

Swali kwako, Nini kinakuaminisha watu waliotoka kwenye hizo shule kama Marian hawawezi kuwa na kasumba za ajabu ajabu ??

Umekalili vibaya sana.
 
Nimewahi kuona jamaa aliosoma hiyo Marian akiingia kwenye uraibu wa matumizi ya dawa za kulevya na hatimae kupoteza maisha...!
Watumiaji kibao wa madawa wapo mitaani Keko, Mabibo, Mwananyamala, etc na hawajawahi kanyaga hata hizo Marian.

Alumni wa Marian hata akitumia drugs, hawezi kuwa kibaka. Kuna levels.
Na pia nimewahi kuwaona mabinti chuo waliotoka St.Francis girls(shule ambayo ni level sawa na hiyo Marian) wakidanga huko Dodoma.
Huwezi kutana na binti wa St. Francis amejipanga barabarani Buguruni au Riverside. Uko wanakaa hawa kayumba walioanza kugongwa na mabodaboda na wauza chips, form one tu bikra hana.
Swali kwako, Nini kinakuaminisha watu waliotoka kwenye hizo shule kama Marian hawawezi kuwa na kasumba za ajabu ajabu ??

Umekalili vibaya sana.
Levels, tatizo ni levels mkuu.

Mdangaji wa Marian utamkuta Johari Rotana au Kempiski akiuza kwa siri, mdangaji wa Nyamisasa sekondari utamkuta kilabu cha kimpumu akidharirisha familia hadharani akinunuliwa na wauza mbao na gongo.
 
Wanaoongoza kujiuza ni Hawa waliosoma shule za serikali.fanya utafiti sehemu wanazojiuza Malaya Nchi nzima.EM ni muhimi maana kiingereza hakikwepeki Kwa mtu mchakalikaji.
Nani kakudanganya au umekalili tu?

Malaya wengi high class hasa wale waliopo kwenye escort groups wanaojua jua kingereza Cha kuombea maji wamesoma hizo hizo shule zenu za English mediums.

Kuhusu kingereza kukijua sio lazima usome shule za mamilioni ya ada kwenye elimu ya msingi.

Pale TEOFILO KISANJI UNIVERSITY Kuna mtu Mmoja anaitwa Samweli Michael almaarufu kama uncle Sam, jamaa alikuwa anaongea English fluently mpaka malecturers wanampa salute, na kwenye background yake ya elimu hajasoma private yoyote Ile ni government schools mwanzo mwisho. Kwa watu waliomaliza pale kabla ya 2015 watakuwa wanamjua maana alikuwa raisi wa chuo.
 
Ndugu we sema hali yako ni ngumu kwa sasa.

Acha mambo ya kupigisha watu stori kwa kutunisha misuri ya typing fingers kuwa wanaosomesha em na international schools eti wana poteza muda.

Hata sisi tunapigika na "njaa-nuary" hii ila hauwezi kuta tunageuza wali kuwa ugali humu.

Sawa, Ngoja tusubirie wajukuu wa bakhresa waje mikorochini praimari
Ukiishi maisha ya mashindano na kuangalia watu utaishi maisha magumu sana ,kama pesa ipo peleka EM kama hauna peleka Kayumba ,hakuna mtu atakayekucheka bali ni perception yako tu.
 
Watumiaji kibao wa madawa wapo mitaani Keko, Mabibo, Mwananyamala, etc na hawajawahi kanyaga hata hizo Marian.

Alumni wa Marian hata akitumia drugs, hawezi kuwa kibaka. Kuna levels.

Huwezi kutana na binti wa St. Francis amejipanga barabarani Buguruni au Riverside. Uko wanakaa hawa kayumba walioanza kugongwa na mabodaboda na wauza chips, form one tu bikra hana.

Levels, tatizo ni levels mkuu.

Mdangaji wa Marian utamkuta Johari Rotana au Kempiski akiuza kwa siri, mdangaji wa Nyamisasa sekondari utamkuta kilabu cha kimpumu akidharirisha familia hadharani akinunuliwa na wauza mbao na gongo.
Kwa hiyo kumbe issue sio udangaji Bali ni mazingira na namna wanavyodanga sio? Hapo ni sawa na kusema tapeli anayekuibia pesa yako baada ya kukurubuni Kwa maneno ni Bora kuliko yule kibaka anayekuja kukukwapua wallet yako kisha anakimbia ... Na wakati wote ni wezi tu
 
Nani kakudanganya au umekalili tu?

Malaya wengi high class hasa wale waliopo kwenye escort groups wanaojua jua kingereza Cha kuombea maji wamesoma hizo hizo shule zenu za English mediums.

Kuhusu kingereza kukijua sio lazima usome shule za mamilioni ya ada kwenye elimu ya msingi.

Pale TEOFILO KISANJI UNIVERSITY Kuna mtu Mmoja anaitwa Samweli Michael almaarufu kama uncle Sam, jamaa alikuwa anaongea English fluently mpaka malecturers wanampa salute, na kwenye background yake ya elimu hajasoma private yoyote Ile ni government schools mwanzo mwisho. Kwa watu waliomaliza pale kabla ya 2015 watakuwa wanamjua maana alikuwa raisi wa chuo.
Siyo nimekalili ndiyo ilivyo.Wanafunzi wanasoma shule za serikali maranyingi wanajiuza Kwa bodaboda Kwa kupewa chips mayai.Huyo anayemsema anaongea kiingereza vizuri japo Mimi simjui lakini kiuhalisia anayesoma serikali kukimudu ni ngumu sana labda ukute huyo mtu Kwa namna Moja ana ukaribu na jamii ambayo inazungumza hiyo lugha.mfano ukute huyo mtu amefanya shughuli za utalii au kwenye mahotel.
 
Kiuhalisia hakuna CONNECTION yoyote atapata wewe kama huna hela usijisumbue kujitutumua misuli bure. Watu wakimaliza shule kila mtu anaelekea ustaarabu wake mwanao atabaki anasimulia tu nilisoma na fulani😀😀😀

Wekeza katika ujuzi, mtoto aende VETA kwenye hizi likizo za kumaliza darasa la saba,form 4,form 6 akachukue ujuzi( kulingana mfumo wetu wa maisha huu muda wa kusubir matokeo sio muda wa kupoteza muda na mapreform 1,5 au unakuta mwanafunzi mhitimu wa form 6 yupo tu mtaani anizurura badala ya kwenda VETA kuchukua ujuzi huu muda huwa ni LULU na ukiupoteza ndo imeisha hiyo).

Dunia ya leo ni ya watu wenye ujuzi.Kwenda nje ya nchi ni swala la maamuzi tu hakutegemei na kwamba ulisoma Feza au st. Kayumba.

Waandalie watoto urithi kwa kuwanunulia viwanja na mashamba ya miti ya mbao na matunda.Wanunulie watoto HISA na BONDS katika makampuni mbalimbali huu ndo utajiri wa kurithishana kutoka kizazi kimoja kwenda kingine.Na sio kupoteza rasilimali kisha kuja kuomba ajira za serikali.

Mtaendelea kuona wahindi na waarabu kama magenius ila hawa watu ni wa kawaida tu sema wanafikra tofauti kuhusu mali na utajiri

The smartest comment in this thread.

Umetisha sana mkuu, natamani tuichambue zaidi hii comment yako Kwa faida ya wengine hasa hapo kwenye para ya pili na ya tatu.
Ukweli mchungu
 
karibu mkuu,

Shida watu wanaishi kwa kuigana na wanaendeshwa na wanawake zao.Sahivi kumeibuka mashindano ya wanawake huku mitaani kupeleka watoto hizi EM😀😀😀😀sasa kwa wanaume wasio na dira wanajikuta wamenasa mtego na wanapukutisha pesa kuzikimbiza huko EM.
Dah! Mkuu kama upo kwenye circle ya marafiki zangu, most wanaendeshwa na wanawake kuhusu elimu za watoto wao.
 
Hivi kwanini January iwe ngumu wakati kila mwaka inajirudia?
Huwa sielewi kabisa hili
Una miezi 10 ya kuwaza Dec/Jan sasa mnakwama wapi?
Kwa wengine January ni mwezi kama miezi mingine tu
Ila kila mmoja anavyojiweka tu
hahaha, waswahil tuna shida kichwani.

kwetu uzungu ni jambo gumu, Kuna fremu kazaa nili pangisha, Baada ya watu kulalama hali ngumu.

Nika toa ofa ya 1 month payment, kilicho fata uswahili na maneno mengii, kesho naelekea kuwasha moto
 
Bora umejisemea ukweli maana LIKUD na mwenzie fulani hawataki kusema ukweli kwamba uchumi wao umeyumba wanajifanya wanaziponda..
 
Sungura aliposhindwa kufikia mahali ambapo ndizi mbivu zipo, aliishia kusema kuwa "ndizi hazijakomaa " tafuteni pesa ili watoto wabaki medium school.
 
Dah! Mkuu kama upo kwenye circle ya marafiki zangu, most wanaendeshwa na wanawake kuhusu elimu za watoto wao.
Ni kisanga wanaume wengi ni wanaume suruali hawana control na nyumba zao kabisa na sijui kwanini hawana confidence yaani hawa wanawake sijui wananini🤔
 
Back
Top Bottom