Huu usajili wa Luis Miquisone ni ishara Simba hawajui walifanyalo, au wapigaji wapo kazini

Unaongelea Miquison au Josee yupi? Kama ni Miquison Al Ahaly wenyewe walimuona Simba na Simba na Al Ahaly zilikutana klabu bingwa, kwahiyo Al Ahaly walinunuwa bidhaa wanayoijuwa vizuri tu si Kwa kuingizwa mkenge na scout.
Ndio walimuona, je usajili ule uliwalipa?
 
Kwanza niweke wazi tu Mimi kwenye riziki ya mtu huwa sina mtimanyongo lakini kwa usajili wa Luis Miquisone unaleta mashaka makubwa sana.

Mtakumbuka Miquison aliondoka Tanzania akiwa kwenye peak lakini ushindani uliopo Al Ahaly akashindwa kuonesha uwezo wake, siamini kama ni ubaguzi maana yupo Msouth Africa pale Tau ni mchezaji tegemeo, kwahiyo in short ameshindwa kuonesha uwezo.

Sasa miaka mitatu bila Miquison kucheza soka la ushindani leo Simba wanampa mkataba wa miaka mitatu, je akicheza chini ya kiwango si itabidi Simba imlipe pesa za kuvunja mkataba?

Hapa ndio nanusa harufu ya wapiga madili kumbe huwa wanategeshea hadi kwenye kuvunja mikataba kote huko wapige pesa.

Namtakia heri kijana arudi na kiwango chake aweze kuonekana kwenye mashindano ya CAF.
nimesubiria comments za kazumari kwenye hili sijaona popote
 
Yule tutusa anawashwa na issue za Yanga tu, nasikia alitoswa nafasi ya kuwa msemaji wa Yanga badala yake kapewa nafasi hiyo katoto kadogo tu Ally Kamwe, ni dharau iliyoje ndio maana ana hasira na Yanga siyo za nchi hii.
 
Attachments

  • FB_IMG_1689992313012.jpg
    FB_IMG_1689992313012.jpg
    31.1 KB · Views: 2
Kwahyo walitengeneza jersey wakiwa sehemu moja,manake navyojua jersey za simba ziliwahi kutangazwa kuwa zimefika kabla ya azam,wangekuwa wameiga kama zingezinduliwa week baada ya azam kuzindua,au hilo hukuwaza??
 
Kwanza niweke wazi tu Mimi kwenye riziki ya mtu huwa sina mtimanyongo lakini kwa usajili wa Luis Miquisone unaleta mashaka makubwa sana.

Mtakumbuka Miquison aliondoka Tanzania akiwa kwenye peak lakini ushindani uliopo Al Ahaly akashindwa kuonesha uwezo wake, siamini kama ni ubaguzi maana yupo Msouth Africa pale Tau ni mchezaji tegemeo, kwahiyo in short ameshindwa kuonesha uwezo.

Sasa miaka mitatu bila Miquison kucheza soka la ushindani leo Simba wanampa mkataba wa miaka mitatu, je akicheza chini ya kiwango si itabidi Simba imlipe pesa za kuvunja mkataba?

Hapa ndio nanusa harufu ya wapiga madili kumbe huwa wanategeshea hadi kwenye kuvunja mikataba kote huko wapige pesa.

Namtakia heri kijana arudi na kiwango chake aweze kuonekana kwenye mashindano ya CAF.
Chama naye ilikuwaje aliporejea?
 
Kwani mchezaji akishindwa timu moja ndio basi hawezi kucheza vizuri timu nyingine?
 
Yule tutusa anawashwa na issue za Yanga tu, nasikia alitoswa nafasi ya kuwa msemaji wa Yanga badala yake kapewa nafasi hiyo katoto kadogo tu Ally Kamwe, ni dharau iliyoje ndio maana ana hasira na Yanga siyo za nchi hii.
Unaonaje kiwango cha Ally Kamwe?
 
Back
Top Bottom