Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Bonge la jibuHii yanga inayosajili reject za simba ndio iache kutapatapa kwa reject ya klabu namba moja Africa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonge la jibuHii yanga inayosajili reject za simba ndio iache kutapatapa kwa reject ya klabu namba moja Africa
Umeanza kujamba mapema sanaKwanza niweke wazi tu Mimi kwenye riziki ya mtu huwa sina mtimanyongo lakini kwa usajili wa Luis Miquisone unaleta mashaka makubwa sana.
Mtakumbuka Miquison aliondoka Tanzania akiwa kwenye peak lakini ushindani uliopo Al Ahaly akashindwa kuonesha uwezo wake, siamini kama ni ubaguzi maana yupo Msouth Africa pale Tau ni mchezaji tegemeo, kwahiyo in short ameshindwa kuonesha uwezo.
Sasa miaka mitatu bila Miquison kucheza soka la ushindani leo Simba wanampa mkataba wa miaka mitatu, je akicheza chini ya kiwango si itabidi Simba imlipe pesa za kuvunja mkataba?
Hapa ndio nanusa harufu ya wapiga madili kumbe huwa wanategeshea hadi kwenye kuvunja mikataba kote huko wapige pesa.
Namtakia heri kijana arudi na kiwango chake aweze kuonekana kwenye mashindano ya CAF.