Ndio walimuona, je usajili ule uliwalipa?Unaongelea Miquison au Josee yupi? Kama ni Miquison Al Ahaly wenyewe walimuona Simba na Simba na Al Ahaly zilikutana klabu bingwa, kwahiyo Al Ahaly walinunuwa bidhaa wanayoijuwa vizuri tu si Kwa kuingizwa mkenge na scout.
Ungemalizia na "Je, akicheza juu ya kiwango" ......, je akicheza chini ya kiwango si itabidi Simba imlipe pesa za kuvunja mkataba?
nimesubiria comments za kazumari kwenye hili sijaona popoteKwanza niweke wazi tu Mimi kwenye riziki ya mtu huwa sina mtimanyongo lakini kwa usajili wa Luis Miquisone unaleta mashaka makubwa sana.
Mtakumbuka Miquison aliondoka Tanzania akiwa kwenye peak lakini ushindani uliopo Al Ahaly akashindwa kuonesha uwezo wake, siamini kama ni ubaguzi maana yupo Msouth Africa pale Tau ni mchezaji tegemeo, kwahiyo in short ameshindwa kuonesha uwezo.
Sasa miaka mitatu bila Miquison kucheza soka la ushindani leo Simba wanampa mkataba wa miaka mitatu, je akicheza chini ya kiwango si itabidi Simba imlipe pesa za kuvunja mkataba?
Hapa ndio nanusa harufu ya wapiga madili kumbe huwa wanategeshea hadi kwenye kuvunja mikataba kote huko wapige pesa.
Namtakia heri kijana arudi na kiwango chake aweze kuonekana kwenye mashindano ya CAF.
Yule tutusa anawashwa na issue za Yanga tu, nasikia alitoswa nafasi ya kuwa msemaji wa Yanga badala yake kapewa nafasi hiyo katoto kadogo tu Ally Kamwe, ni dharau iliyoje ndio maana ana hasira na Yanga siyo za nchi hii.nimesubiria comments za kazumari kwenye hili sijaona popote
Utopolo hawawazi hivyo! Kama shetani, ni kuwaza mabaya tu!Ungemalizia na "Je, akicheza juu ya kiwango" ...
Hii yanga inayosajili reject za simba ndio iache kutapatapa kwa reject ya klabu namba moja AfricaYani Yanga itapetape kwa reject ya Waarabu?
Henry alikuwa Milan mkuukung'aa au kutong'aa kwa mchezaji mara nyingi inategemea mfumo wa timu na kocha.
Henry alipokuwa Juventus alikuwa chini ya kiwango lakini Alipoenda arsenal akageuka shujaa.
Chama na Miq hawakupaswa rudi Simba
Juventus mkuu fatilia vizuri au googleHenry alikuwa Milan mkuu
Binafsi niseme tu IMEKUUMA
Chama aliporudi toka kwa waarabu mbona kawa wa kawaida sana, ndondo cup player, Yanga wanabeba makombe tu!!Nakumbuka makambo wa yanga ya zahera na yule wa msimu uliopita.
Chama naye ilikuwaje aliporejea?Kwanza niweke wazi tu Mimi kwenye riziki ya mtu huwa sina mtimanyongo lakini kwa usajili wa Luis Miquisone unaleta mashaka makubwa sana.
Mtakumbuka Miquison aliondoka Tanzania akiwa kwenye peak lakini ushindani uliopo Al Ahaly akashindwa kuonesha uwezo wake, siamini kama ni ubaguzi maana yupo Msouth Africa pale Tau ni mchezaji tegemeo, kwahiyo in short ameshindwa kuonesha uwezo.
Sasa miaka mitatu bila Miquison kucheza soka la ushindani leo Simba wanampa mkataba wa miaka mitatu, je akicheza chini ya kiwango si itabidi Simba imlipe pesa za kuvunja mkataba?
Hapa ndio nanusa harufu ya wapiga madili kumbe huwa wanategeshea hadi kwenye kuvunja mikataba kote huko wapige pesa.
Namtakia heri kijana arudi na kiwango chake aweze kuonekana kwenye mashindano ya CAF.
Muulizeni kocha wenu kwa nini hamtaki Chama?Chama naye ilikuwaje aliporejea?
Kwani mchezaji akishindwa timu moja ndio basi hawezi kucheza vizuri timu nyingine?Kwanza niweke wazi tu Mimi kwenye riziki ya mtu huwa sina mtimanyongo lakini kwa usajili wa Luis Miquisone unaleta mashaka makubwa sana.
Mtakumbuka Miquison aliondoka Tanzania akiwa kwenye peak lakini ushindani uliopo Al Ahaly akashindwa kuonesha uwezo wake, siamini kama ni ubaguzi maana yupo Msouth Africa pale Tau ni mchezaji tegemeo, kwahiyo in short ameshindwa kuonesha uwezo.
Sasa miaka mitatu bila Miquison kucheza soka la ushindani leo Simba wanampa mkataba wa miaka mitatu, je akicheza chini ya kiwango si itabidi Simba imlipe pesa za kuvunja mkataba?
Hapa ndio nanusa harufu ya wapiga madili kumbe huwa wanategeshea hadi kwenye kuvunja mikataba kote huko wapige pesa.
Namtakia heri kijana arudi na kiwango chake aweze kuonekana kwenye mashindano ya CAF.
Unaonaje kiwango cha Ally Kamwe?Yule tutusa anawashwa na issue za Yanga tu, nasikia alitoswa nafasi ya kuwa msemaji wa Yanga badala yake kapewa nafasi hiyo katoto kadogo tu Ally Kamwe, ni dharau iliyoje ndio maana ana hasira na Yanga siyo za nchi hii.