Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Naona Azam anachukua watangazaji na wachambuzi wa Michezo wote kutoka vituo vingine.
Wakina Dauda, Kumwembe, Mkalaboko, Meena Ally, Abissay, Ally Mayay, nk.
KOMBE LA DUNIA | WAMEMWAGA WINO
Ni timu ya watangazaji na wachambuzi wa kandanda (unaowajua), wakisaini makubaliano ya kufanya kazi hiyo na Azam Media Limited katika michuano ya Kombe la Dunia inayoanza rasmi Juni 11, 2026.
Waliomwaga wino leo ni pamoja na Edo Kumwembe, Shafih Dauda, Ally Mayay, Meena Ally, George Job, Abissay Steven JR, Athuman Bemelengo, Thabith Zakaria, Ramadhan Mbwaduke, Lilian Mukulu, Godlisten Muro na Zuberi Mkalaboko.
Wengine ni Justin Kessy, Amri Kiemba, Frank Domayo, na James Samwel Hafla ya kuwasainisha watangazaji na wachambuzi hao imefanyika ndani ya Makao Makuu ya Azam Media Limited, Tabata Tiot, Dar es Salaam.
Ni tempo kwaajili ya WC26 au?