Ni uhuni grade ya taifa yaani unyonyaji unaofanyika ni mkubwa yaani jambo la free mtu anatak kutokea hapo hii yote ni kwa sababu wanatuona wajinga wamefunga uhuru ndio maana hawezi tokea mtu hata mmoja ambaye atafungua channel popote pale ili aonyeshe world cup kama yule mwamba mzungu aliyefungua channel kuonyesha WC kigezo ni bando lako tu hakuna kulipiaNa ukifatilia chaneli za nje zinazorusha bure hizo mechi kwenye hivi vingamuzi vya Azam na Dstv huw wanazifungia mpaka mechi ziishee huu kama siyo uhuni ni nini
FIFA, miaka yote Word Cup hutoa haki za matangazo kwa National Television waonyeshe bure hasa Afrika coz wanajua wananchi wana hali ngumu kiuchumi na pia kama sehemu ya kurejesha fadhila kwa jamii.Tanzania vitu vingi wanapewa mabepari kwa %
Nashangaa watu wengi kumbe mnajua hili ila tumekaa kimya jamaa wanatupiga tu niliwahi kujiuliza inakuaje Nchi ambazo sio za Mpira kama Namibia wanaweza kuona WC au Botswana kupitia TV ya Taifa na sisi hatuoni baadae kufatilia nikapata jibu..FIFA, miaka yote Word Cup hutoa haki za matangazo kwa National Television waonyeshe bure hasa Afrika coz wanajua wananchi wana hali ngumu kiuchumi na pia kama sehemu ya kurejesha fadhila kwa jamii.
Cha kushangaza sasa..............................