Jibu ni hilo la kwanza, na uzi ufungwe mara moja.Naona Azam anachukua watangazaji na wachambuzi wa Michezo wote kutoka vituo vingine.
Wakina Dauda, Kumwembe, Mkalaboko, Meena Ally, Abissay, Ally Mayay, nk.
KOMBE LA DUNIA | WAMEMWAGA WINO
Ni timu ya watangazaji na wachambuzi wa kandanda (unaowajua), wakisaini makubaliano ya kufanya kazi hiyo na Azam Media Limited katika michuano ya Kombe la Dunia inayoanza rasmi Juni 11, 2026.
Waliomwaga wino leo ni pamoja na Edo Kumwembe, Shafih Dauda, Ally Mayay, Meena Ally, George Job, Abissay Steven JR, Athuman Bemelengo, Thabith Zakaria, Ramadhan Mbwaduke, Lilian Mukulu, Godlisten Muro na Zuberi Mkalaboko.
Wengine ni Justin Kessy, Amri Kiemba, Frank Domayo, na James Samwel Hafla ya kuwasainisha watangazaji na wachambuzi hao imefanyika ndani ya Makao Makuu ya Azam Media Limited, Tabata Tiot, Dar es Salaam.
View attachment 3600606
Ni tempo kwaajili ya WC26 au?View attachment 3600607
Hapo kwenye TBC kupewa na FIFA haki ya matangazo ya WC bure akili yangu inakataa.Television ya Taifa wana haki ya kuonyesha machine zote za WC bure kutoka FIFA ila wao wanawaachia Azam wapate hela na wao kuchagua tu baadhi ya mechi Nchi ngumu sana hii nilitegemea TBC ndio wangeongeza nguvu ili wananchi baadhi ya manner waone kiurahisi wao sijui wapo busy na nini kipindi hiki..
Tanzania vitu vingi wanapewa mabepari kwa % sio WC tu hata UEFA champions League wanatakiwa kuonyesha mechi kadhaa nikiwa Zambia au SA hizo mechi Sabc na ZB ndio wanaonyesha ingawaje wenye dstv pia wanaonyesha nakumbuka Rais wa chama cha mpira Spain mwaka huu aliwahi kusema Timu zinalipia matangazo ili watoto wa Afrika waangalie bure ligi yao..Hapo kwenye TBC kupewa na FIFA haki ya matangazo ya WC bure akili yangu inakataa.
Tatizo kutojua kwangu huenda upo sahihi 100%
Nafikiri TBC wanaweza kununua hizo haki.Tanzania vitu vingi wanapewa mabepari kwa % sio WC tu hata UEFA champions League wanatakiwa kuonyesha mechi kadhaa nikiwa Zambia au SA hizo mechi Sabc na ZB ndio wanaonyesha ingawaje wenye dstv pia wanaonyesha nakumbuka Rais wa chama cha mpira Spain mwaka huu aliwahi kusema Timu zinalipia matangazo ili watoto wa Afrika waangalie bure ligi yao..
Juzi nimeangalia kupitia TV ya Taifa final ya Tanzania vs Senegal hapa SA ila sijui kama TBC walionyesha huko..
Ukifatilia ligi za wenzetu Timu zinachangia Afrika kuonyeshwa baadhi ya mechi nakumbuka dstv walikua wanaonyesha kombe moja sijui la Mfalme la Spain walipigwa marufuku miaka kadhaa nyuma ikaonekana dstv wanafanya biashara kwa kitu ambacho Wananchi wanatakiwa waone bure itakua Copa de ray nadhani ndio hatuoni dstv nina uhakika na hiki nachosema kwa sababu ukiwa Nchi zingine unaona kupitia TV ya Taifa kwa baadhi ya mechi kwetu wanapewa hela ili Wananchi wasione ibaki hiyo TV yao moja tu.Nafikiri TBC wanaweza kununua hizo haki.
Kuna miaka walinunua wakarusha.
Haikuwa bure. Nafikiri enzi za TIDO MHANDO.
Lyoba wa hovyo.
Shida ya nchi hii maccm yanaiba kila kitu hata vidogo vya kutupa furaha walalahoiTimu ya Vijana inacheza Fainal kombe la Afrika harafu TV ya Taifa hainonyeshi tunaona sawa tu wanapewa wafanyabisahara..
Hii nchi imejaa viongozi wajinga wanaotanguliza matumbo yao katika nyanja zote ambazo mwananchi anatakiwa kupewa free uzuri hizo hela tunaziacha duniani hakuna anayeenda nayo mbinguniShida ya nchi hii maccm yanaiba kila kitu hata vidogo vya kutupa furaha walalahoi
Nafikiri wanatembea na ule msemo "No free lunch in America"Shida ya nchi hii maccm yanaiba kila kitu hata vidogo vya kutupa furaha walalahoi
Na ukifatilia chaneli za nje zinazorusha bure hizo mechi kwenye hivi vingamuzi vya Azam na Dstv huw wanazifungia mpaka mechi ziishee huu kama siyo uhuni ni niniHii nchi imejaa viongozi wajinga wanaotanguliza matumbo yao katika nyanja zote ambazo mwananchi anatakiwa kupewa free uzuri hizo hela tunaziacha duniani hakuna anayeenda nayo mbinguni