abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,296
Habari wadau kama mtakua mnatembelea mitandao ya kijamii naamini Habari kubwa sasaiv ni Diamond na baba yake watu wamekua na maswal mengi kila mtu ameuliza lake na bila kupata Majibu Bali kubaki na maswali yalio zalishwa na swali
Mimi binafs niende moja kwa moja kwenye hoja. Na kusema kwa akil zangu timam nikiangalia situation ya maisha ya Mama Diamond anavyo ishi anavyo jiweka na maisha ya Baba Diamond Iman yangu inaniambia kua Mama kamlisha Sumu mbaya Sana Mwanae. Na kila siku inapo kucha Diamond anazid kuambiwa Mengi Tena kwa ukaribu Zaid na mama yake juu ya baba yake
Kwanini Diamond hataki kumsamehe Baba yake kumpa hata 10k kwa siku ili imsaidie?
Ni kosa gani kubwa kalifanya Baba Diamond wakat hakukataa Mimba ya Diamond na apo awal inaonyeaha wazi kabisa Diamond na baba yake na mama yake walikua ni Familia yenye furaha? Kipi kilitokea mpaka Leo hii Diamond hatak kumsaidia Baba yake? Mana sidhan kama mzaz hakukataa Mimba akailea mpaka uka kua Baada ya apo hakuna kosa lisilo sameheka kwa Baba au mama utamuukum kwa lip mzaz alie kulea mpaka ukakua na Kuanza kujieleza?
Wanawake kama mmepanda zao wote pamoja basi na kwenye mavuno iwe ivyo ivyo Pia ningependa kumshaur mama Diamond aache kuwapa watu Iman mbaya Zaid yake ya wao kufikiria kua yeye ndio sababu kwa mambo anayo yafanya na kuyaongea juzi Anamjibu mtu kwenye Mitandao ya kijamii kua nanukuu "kwani diamond ndio mtoto wake pekee si anamtoto mwingine mkubwa aende akamsaidie Kwan mpaka Diamond" dah Mama diamond muogope Mungu
Narudia Tena mimi Binafs sion dhambi kubwa ya mtoto kumtesa mzee Abdul vile kwa dam yake kama hakukataa mimba na kuitelekeka Familia
Mbaya Zaid Baba Diamond kafika mbali na kusema kua akifa Diamond asiendee kumzika hii sio poa kabisa Diamond Baba yako uyo embu fikiria pemben bila kumshirikisha mama yako alafu upime unacho fanya ni Sawa?