Huu ushaidi unaonyesha kabisa baba Diamond hakustahili haya na huenda mama ndio akawa mbaya

Hayo ndio uliyoyaacha tangu mwanzo, lakini huna pointi yoyote ya maana.
Yapi hayo niliyoyachagua tangu mwanzo? ulifikiri ukija na lugha za kipumbavu ningekuchekea Eeeh! Wewe una point gani ya maana uliyoileta zaidi ya kujifanya mjuaji wakati huna ujualo,unashindwa kusoma comment ya mtu na kuielewa amekusudia nini ila unakuja na argument zako za Darasa la pili tu.
 


Mimi sio najifanya, mimi najua. Sasa hivi siko kwenye mood ya matusi, ngoja nikuweke akiba tu.
 
Mimi sio najifanya, mimi najua. Sasa hivi siko kwenye mood ya matusi, ngoja nikuweke akiba tu.
Aisee! Eti unamuweka mtu akiba ili uje utukane siku nyingine!
Hivi wewe ni timamu kweli?
 
Kwasababu unalugha chafu, ndio.
Lugha chafu uliianza wewe,mimi nimeendeleza tu ulipoishia wewe,
soma comment yako ya kwanza uliyonijibu ulitumia lugha safi?
nakushauri hiyo siku uliyoichagua uje umejipanga kisawasawa.
 
Lugha chafu uliianza wewe,mimi nimeendeleza tu ulipoishia wewe,
soma comment yako ya kwanza uliyonijibu ulitumia lugha safi?
nakushauri hiyo siku uliyoichagua uje umejipanga kisawasawa.


Haina siku, mimi nipo humu every day, I'm just not in the mood right now.
 
So vipi kama jamaa aliwafukuza mtoto na mamake kama mbwa na matusi juu?..lazima tujue kuna kitu kikubwa kilitokea ambacho hakisemwi
Daribini zetu zinasema kwamba,,,

Hapo zamani za kale ,,,baba diamond alikuwa anaishi nyumbani kwa mama diamond kama marioo.

Baada ya mama diamond kupata mpnz mpya ,
baba diamond alifukuzwa kama mgoni
aliyefumaniwa na mwenye mke.

Miezi kadhaa ilipita na mama diamond akaachwa solemba na marioo wake mpya ,,,

Mama diamond ilibidi amfate tena baba diamond kuomba radhi,,,warudiane.

Darubini zetu zinasema kwamba,,

Baba diamond alimtosa huyo mama diamond sababu wakati huo tayari alikuwa ktk mahusiano na mama queen dareen..

Baada ya kutoswa huyo mama,,
Hasira zake ndy akazihamisha kwa kutengeneza mazingira kwamba huyo mzee alimkataa diamond.,,

Lakini ukwl ni kwamba huyo mama ni kama analipiza kisasi cha mapenzi kwa baba diamond.,,

Lakini yeye ndy mdangaji,,na yeye ndy hataki diamond amsaidie baba yake.
 
Uzi ufungwe
 
Huyo mama aliyaota hayo maisha toka zamani na kayapata ..anaona hata akirudiana na mzee wake wa nini?

Anataka asuguliwe na kijana/kibenten huku pesa ipo kwa mwanae kazi yake kula bata na kupakuliwa kipimo cha nguvu na jamaa ...!

Apewe nini tena? Mzee Abdul anaona atamtilia nuksi tu.

Ukiachana na mkeo chukua mtoto kama unaweza
 
Tatizo anahis na baba diamond atapata dogo dogo alafu yawe mashindano
 
Naunga mkono hoja.Ila zingatia matumizi sahihi ya lugha yetu adhimu ya kiswahili.
HHapo-------siyo apo.
 
Mbona baba Diamond tayari ana mke na watoto kama wawili,kaiangalie interview aliyofanya na Soudybrown utawaona watoto wake wengine.

Alivyo achana na Mama yake Diamond akavuta jiko jingine.
Kwani kuachana naye ndio anakuwa siye baba wa Diamond?
 
Baba anaweza kuzaa watoto wengi,Ila mtoto hawezi kuzaliwa na baba zaidi ya mmoja. Hivyo Diamond na wengine wenye tabia Kama hizo waache mara moja.Usiposamehe husamehewi na mwenyezi Mungu.
 
Uswail wa uyu mama mpaka kwa watoto za watu mzee abdul Hana makosa kabisa sababu hata uyu mama kila siku kumfata Fata mtoto wa watu hamisa akijibu anaanza kutoa pengo la pemben nje kasahau yeye alidanga mpaka kwa wahind
 
Wale wa karibu tumwambie diamond dunian tunapita ,Leo mzima kesho hatakuwepo afanye kumsaidia babake mzaz kama anavyofanya kwa mamake mzaz,sie tuliezika wazazi wetu wote wawili tunajua uchungu wa mzaz .unafurahia kumuona hata kama ni chizi ,kikongwe,mlevi n.k ilaa yupo unamuona

Hizi hela yeye sie wa kwanza kuzipata na sie wengine tunazo ilaa tunataman wazaz wetu wangekuwepo tutumie nao kwa pamoja wafurahi ilaaa ndo hivyo tena hawapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…