Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Ukizaa kutunza mtoto ni wajibu wako wewe mzazi uliyeleta kiumbe duniani ila wewe kutunzwa na mtoto baadaye ni hisani tu, unaweza usiipate na hakuna kosa lolote hapo pia . Wote wenye watoto au mnaotarajia kuwa na watoto hili mnapaswa kulifahamu vizuri, ni jambo la aibu sana kulilia kutunzwa na watoto wako.
Inafikirisha sana.Mtu unamtunza vyema mama kabla hajazaa na baada,then ukikorofishana na huyo mama,unakomolewa na wote,yaani mama na mtoto.