mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Hata jeneza hatolishika,,,Hivi ataenda kumzika kwa level ya utajiri wake kweli?
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Atatamani ardhi ipasuke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata jeneza hatolishika,,,Hivi ataenda kumzika kwa level ya utajiri wake kweli?
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
ndo mana machoko hawaishi mjini.Habari wadau kama mtakua mnatembelea mitandao ya kijamii naamini Habari kubwa sasaiv ni Diamond na baba yake watu wamekua na maswal mengi kila mtu ameuliza lake na bila kupata Majibu Bali kubaki na maswali yalio zalishwa na swali
Mimi binafs niende moja kwa moja kwenye hoja. Na kusema kwa akil zangu timam nikiangalia situation ya maisha ya Mama Diamond anavyo ishi anavyo jiweka na maisha ya Baba Diamond Iman yangu inaniambia kua Mama kamlisha Sumu mbaya Sana Mwanae. Na kila siku inapo kucha Diamond anazid kuambiwa Mengi Tena kwa ukaribu Zaid na mama yake juu ya baba yake
Kwanini Diamond hataki kumsamehe Baba yake kumpa hata 10k kwa siku ili imsaidie?
Ni kosa gani kubwa kalifanya Baba Diamond wakat hakukataa Mimba ya Diamond na apo awal inaonyeaha wazi kabisa Diamond na baba yake na mama yake walikua ni Familia yenye furaha? Kipi kilitokea mpaka Leo hii Diamond hatak kumsaidia Baba yake? Mana sidhan kama mzaz hakukataa Mimba akailea mpaka uka kua Baada ya apo hakuna kosa lisilo sameheka kwa Baba au mama utamuukum kwa lip mzaz alie kulea mpaka ukakua na Kuanza kujieleza?
Wanawake kama mmepanda zao wote pamoja basi na kwenye mavuno iwe ivyo ivyo Pia ningependa kumshaur mama Diamond aache kuwapa watu Iman mbaya Zaid yake ya wao kufikiria kua yeye ndio sababu kwa mambo anayo yafanya na kuyaongea juzi Anamjibu mtu kwenye Mitandao ya kijamii kua nanukuu "kwani diamond ndio mtoto wake pekee si anamtoto mwingine mkubwa aende akamsaidie Kwan mpaka Diamond" dah Mama diamond muogope Mungu
Narudia Tena mimi Binafs sion dhambi kubwa ya mtoto kumtesa mzee Abdul vile kwa dam yake kama hakukataa mimba na kuitelekeka Familia
Mbaya Zaid Baba Diamond kafika mbali na kusema kua akifa Diamond asiendee kumzika hii sio poa kabisa Diamond Baba yako uyo embu fikiria pemben bila kumshirikisha mama yako alafu upime unacho fanya ni Sawa?
Habari wadau kama mtakua mnatembelea mitandao ya kijamii naamini Habari kubwa sasaiv ni Diamond na baba yake watu wamekua na maswal mengi kila mtu ameuliza lake na bila kupata Majibu Bali kubaki na maswali yalio zalishwa na swali
Mimi binafs niende moja kwa moja kwenye hoja. Na kusema kwa akil zangu timam nikiangalia situation ya maisha ya Mama Diamond anavyo ishi anavyo jiweka na maisha ya Baba Diamond Iman yangu inaniambia kua Mama kamlisha Sumu mbaya Sana Mwanae. Na kila siku inapo kucha Diamond anazid kuambiwa Mengi Tena kwa ukaribu Zaid na mama yake juu ya baba yake
Kwanini Diamond hataki kumsamehe Baba yake kumpa hata 10k kwa siku ili imsaidie?
Ni kosa gani kubwa kalifanya Baba Diamond wakat hakukataa Mimba ya Diamond na apo awal inaonyeaha wazi kabisa Diamond na baba yake na mama yake walikua ni Familia yenye furaha? Kipi kilitokea mpaka Leo hii Diamond hatak kumsaidia Baba yake? Mana sidhan kama mzaz hakukataa Mimba akailea mpaka uka kua Baada ya apo hakuna kosa lisilo sameheka kwa Baba au mama utamuukum kwa lip mzaz alie kulea mpaka ukakua na Kuanza kujieleza?
Wanawake kama mmepanda zao wote pamoja basi na kwenye mavuno iwe ivyo ivyo Pia ningependa kumshaur mama Diamond aache kuwapa watu Iman mbaya Zaid yake ya wao kufikiria kua yeye ndio sababu kwa mambo anayo yafanya na kuyaongea juzi Anamjibu mtu kwenye Mitandao ya kijamii kua nanukuu "kwani diamond ndio mtoto wake pekee si anamtoto mwingine mkubwa aende akamsaidie Kwan mpaka Diamond" dah Mama diamond muogope Mungu
Narudia Tena mimi Binafs sion dhambi kubwa ya mtoto kumtesa mzee Abdul vile kwa dam yake kama hakukataa mimba na kuitelekeka Familia
Mbaya Zaid Baba Diamond kafika mbali na kusema kua akifa Diamond asiendee kumzika hii sio poa kabisa Diamond Baba yako uyo embu fikiria pemben bila kumshirikisha mama yako alafu upime unacho fanya ni Sawa?
Ile kumwita uncle ni kuhalalisha haramu..
Yaani Diamond fala sana,,nasikia hata vumbi la congo anamnunulia huyo uncle ili amsuguwe vizuri mama yake.
Kabla sijawajua wanawake pengine ningekuwa na mtazamo tofauti na nilio nao sasa ila kwa kuwa ninaelewa ni ugumu kiasi gani kuishi na mwanamke under the same roof especially wenye midomo michafu niko upande wa baba yake Diamond.
Huyo bi. Sandra alikuwa mwanamke wa hovyo since then ila tu hakupata nafasi ya kuvimba. Sasahizi ndio anaonekana true colors zake ila so far hata chanzo cha ugomvi huenda ni infidelity issues pamoja na kiburi na domo lake chafu. Kwa mwanaume anaejiweza obvious lazma ataopt kujiweka pembeni au kuwa na mipango kando huku akiendelea kuishi na mwanamke mkorofi kulinda tu heshima ya familia.
Ila kwa bwana Abdul naona yeye aliamua kujitenga kabisa na huyo mwanamke na ndio akampa rum ya kummezesha sumu dogo diamond kuwa baba yako hatujali, ona anaendekeza umalaya tu ila kimsingi yeye ndio chanzo. Yani kwa kumtazama anaonekana ni wale wanawake wapenda ligi ya maneno mtabishana mwisho unamtia vitasa tu.
Diamond kama muislam halisi hakupaswa kumsikiliza mama yake pekee pia ilikuwa ni vyema pesa zake zingetumika katika kuwaunganisha tena upya baba na mama yake
Aseee kwahiyo mama wa Queen na wa Diamond hawakuona mwanaume mwingine wa kuwalelea watoto wao wakampelekea huyu mzee abdul kwa makubaliano? TUMIA AKILI BASIHuyo mzee kawalea tu kina mondi baada ya tukio fulani kutokea, so akasimama kama mlezi kwa makubaliano na mama mondi ila sio baba yao halisi.
Alafu Diamond swagger na kipaji karithi kwa baba....
Ila upumbavu kulea kibenten Cha mama, eti anamwita Uncle Shamte
Diamond anatunza DUME lingine LINALOMUANGUSHA mama yake kwa sasa. Hawezi kutunza MADUME MAWILI!
Mwanamke ambaye amezaa na watu tofauti tofauti ni dhahiri alikuwa mdangaji wa kiaina flani na si mtu wa kuridhika na matunzo ya mume. Sasa imagine na wewe kidume unajiweza si lazima uvimbe ili kumkata ngebe mwanamke jeuri. Kitu alikosea mzee abdul alitakiwa amtimue mama abakie na mtoto tu. Sema ujana nao ulikuwa umepamba moto ukizingatia alikuwa sukari ya warembo.
Kwahiyo mkuu unataka kusemaje kuhusu Uncle Shamte 🤣🤣🤣🤣Dume halitakiwi kutunzwa,linatakiwa lijitunze lenyewe
Mfano kama mama yake hakupewa pesa za matunzo ndy ashindwe kumsaidia baba yake?
Wewe baba yako aliweza kukupa kila ulichohitaji utotoni?
Je huwezi kumsaidia?
Lazima ujuwe jinsi ya kutofautisha kati ya kukosa pesa,,na kukataa kutoa pesa.
Kwahiyo mkuu unataka kusemaje kuhusu Uncle Shamte [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu mama anaonekana ni mzinzi,mpenda Shari,jeuri,kiburi,mwenye tabia ya kuweka kinyongo na asiyejiheshimu. Ni kweli inawezekana mzee alipiga chini kujiepusha na kero hizo
Diamond ana watoto
Na most likely watamfsnyia anachomfanyia Baba yake
Mkuu naona umevama gheto la mabaharia na khanga hata chupi hukuvaa.
Hivi inakuingia akilini kisa mama yake diamond alitelekezwa na mzazi mwenzie,,?
matokeo yake ahamishie ugomvi wao kwa mtoto?
Tunachomlaumu diamond ni kutomjali baba yake,
Na asijiingize ktk ugomvi wa wazazi wake.